Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo...
66 Reactions
803 Replies
116K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wahitimu wa Kozi ndefu ya mwaka 2023/2024 katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi...
1 Reactions
3 Replies
680 Views
Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, amefika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni na Kukutana na Katibu Mkuu wa Chama...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mdahalo uwe live hapa hapa JF. Jukwaa la kisiasa la JF sasa liwe la midahalo ya kisiasa hapa nchini Tanzania. Mada mojawapo kati ya hizi mbili, au zingine vile mtakavyoona: 1 - Itikadi za...
2 Reactions
26 Replies
622 Views
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite. Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo; 1. Kuuawa kwa Ben Saanane...
78 Reactions
550 Replies
45K Views
Shalom. Makada wa CCM Nape Nnauye na January Makamba wamefurushwa kutoka nafasi zao za Uwaziri. Kwamba sasa ni Wabunge tu wa Mtama (Lindi) na Bumbuli (Tanga). Si mara ya kwanza kwa vijana hawa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua...
27 Reactions
154 Replies
7K Views
Katikati situation aliyonayo anapaswa kutulia sana na kwenye baadhi ya maamuzi anapaswa kutafakari kwa muda kabla hajaongea. Matamshi ni kama kama risasi hayana rivasi, yakitoka yametoka...
67 Reactions
183 Replies
10K Views
Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata...
2 Reactions
16 Replies
549 Views
Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia. Hamisho za wakuu wa shulni za hivi...
1 Reactions
16 Replies
632 Views
Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani...
36 Reactions
53 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana! Pamoja na kushambuliwa...
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Mwanahabari mkongwe na mbunge na mkuu wa Wilaya Mstaafu Mh. Jenelari Ulimwengu anasema tishio la watu kulishana Sumu limekuwa kubwa nchini. Jenelari anesema Wanasiasa wa nchi hii wanazidi...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM...
12 Reactions
160 Replies
6K Views
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha. Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia...
12 Reactions
93 Replies
3K Views
Nakumbuka Shujaa Magufuli ndiye alitoaga hii Siri ya Viongozi wa Kisiasa kuwekeana Sumu akisema yeye na Mfugale ni wahanga. Awali Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete aliwahi kusema huko Chamani Watu...
3 Reactions
12 Replies
851 Views
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini-Chadema Aida Kenan amempongeza Rais Samia Kwa jitihada zake za kuleta maendeleo. Mbele ya maelfu ya Wananchi Mbunge alijinadi na kumsifia Rais Samia sambamba na...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter ==== Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar...
11 Reactions
81 Replies
4K Views
Back
Top Bottom