Tulitegemea amsha amsha tulizozizoea tangu JPM aingie madarakani, tumbua tumbua, vamia vamia maofisi ya wizara na ziara za kushutukiza na kutumbua majipu.
Lakini tangu JPM aingie madarakani...
Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya...
Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa...
Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ni mwaka 2004/2005 waziri mwenye mamlaka alibadilisha mtaala ambapo moja ya vitu vya hovyo vitakavyobaki kama simulizi za muda mrefu ni kuunganisha somo la...
Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther.
Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara...
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji.
Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la...
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo.
Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo...
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.
Azam decoder hawana Ubora kuzidi...
Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena.
Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri...
Natembea sana nje ya Tanzania. Natembea sana ndani ya Tanzania. Najua dunia inaenda wapi na inahitaji vitu gani kwa sasa!
Kwa maeneo mengi ya nje ya Tanzania niliyotembelea, Tanzania inasemwa...
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao.
Musiwapangie sawa na utamaduni wenu.
Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais.
Yaani...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye...
24 July 2024
ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu
https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc
Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega...
Rais Ruto amesema amesikia kilio cha vijana wa Gen Z na sasa atapunguza mishahara na posho za watumishi wa Umma Kwa 35%
Pili Siasa za Makanisani na kwenye misiba tumepiga Marufuku, amesisitiza mh...
Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa...
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema
1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe...
Hii katiba iliyopo ni shamba, ni mradi kuna watu wanaifurahia wao na vizazi vyao, wao na rafiki zao, wao na washikaji zao, kwa hiyo wasingependa kuiona ikibadilika kwa sababu ndiyo shamba lao...
Habarini Wadau,
Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili.
Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.