Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mzee Kikwete, Mzee Yusufu Makamba, na Mzee Kinana, naamini wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kisiasa ya: 1. Nape Nnauye 2. January Makamba 3. Riziwani Kikwete Hivi isingelikuwa hao wazee...
1 Reactions
8 Replies
316 Views
Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi...
2 Reactions
113 Replies
1K Views
Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda. Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na...
17 Reactions
58 Replies
3K Views
https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara...
2 Reactions
5 Replies
666 Views
Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA...
5 Reactions
24 Replies
764 Views
Taarifa za muda huu kutokea ikulu ya Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika...
12 Reactions
83 Replies
5K Views
Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo yamesemwa na...
1 Reactions
12 Replies
768 Views
Waungwana tunashukuru Kwa kile kilichotokea jana kuhusu vyeo vya watumishi wa umma na badiliko la mishahara tuliloliona, tuliteseka Kwa muda mrefu sana tukifanya KAZI ya punda bila badiliko lolote...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuna Mjadala mkubwa unaendelea kwenye Chama kikuu Cha Upinzani nchini Kenya ODM Nusu Mkate ya Baraza la Mawaziri imeigawa ODM kiasi Cha kutishia Usalama wake Chadema wameomba Nusu Mkate 2025...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Najua kwamba Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, lakini ni jambo lililo wazi kwamba yeye kama Rais wa Tanzania, maamuzi yake kwa zaidi ya 98% yanahusu upande wa Tanzania bara...
25 Reactions
126 Replies
3K Views
1. Dk Slaa: Ubalozi utabaki historia, nitaendelea kusema -2024 2. Rais Magufuli afanya mazungumzo na Dk Slaa Ikulu- Asema Magufuli ni Jembe, aipongeza ccm kwa kuongoza nchi vizuri - 2017 3...
2 Reactions
7 Replies
519 Views
Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964? Au kuna mapinduzi mengine...
1 Reactions
5 Replies
262 Views
Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani. Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa...
8 Reactions
13 Replies
603 Views
WATANZANIA wanaelekea kutegua kitendawili cha nani awe Rais ajaye. Wametaja wasifu wa Rais huyo na kusisitiza kuwa uchaguzi wa mwaka huu umuweke kiongozi huyo kumrithi Rais Jakaya Kikwete...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Serikali imeendelea kutoa fedha za utekelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) wa kilomita 1,219, kwa kutoa jumla ya Sh10.69 trilioni na kwa ujenzi wa kipande cha Dar es...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Ijulikane kwamba ndani ya ccm NI wazi kwamba wizi wa Mali za umma kwao NI sehemu ya maisha na huwa hawajui kuwa ndani ya ccm hiyohiyo kuna viongozi huangalia yanayotendeka na kujinyamazia! Sasa...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Nimekuwa Tanzania kwa mwezi mmoja na ndiyo nimerudi kwenye kazi yangu hapa Texas, USA. Kuna kitu nimeona Tanzania ambacho nafikiri ni vizuri kubadilika Lazima wananchi wajue jinsi na vitu vya...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto. Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Ni juzi Waziri alitembelea na akatoa maamuzi mbalimbali cha kushangaza hadi sasa hakuna maji. Watendaji wenu wanatuletea mambo ya mgawo wa maji siku moja kwa wiki Alhamisi cha ajqbu hiyo Alhamisi...
0 Reactions
3 Replies
350 Views
Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit! Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa...
42 Reactions
126 Replies
5K Views
Back
Top Bottom