Kwa muktadha wa huu uzi, Chama hasimu kwa CCM ni CHADEMA na kwa CHADEMA ni CCM.
Watu wazuri ni watu wanaoweza kuwa msaada kwa Chama.
Kati ya hivyo vyama viwili, ni kipi kimenufaishwa zaidi na...
Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa
Hiyo ni dalili kuwa bado...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024...
"Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam.
Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata...
Taarifa zaidi hii hapa
Mawakala wa Forodha pamoja na Wasafirishaji wenye magari zaidi ya 500 wa Tanzania wamefanya mgomo ikiwa ni siku ya pili katika mpaka wa Namanga uliopo katika Wilaya ya...
Kuna minong'ono imekuwa ikiendelea kwa siku kadhaa sasa kumuhusu RC wa Arusha, Paul Makonda, kwamba anaumwa sana na amekimbizwa South Afrika kwa matibabu. Hisia za baadhi ya watu ni kuwa kalishwa...
Wakati Rais akiwaapisha viongozi aliowateua, alisema aliwaacha Kabudi na Lukuvi kwa lengo la kuwavuta jirani naye kwa lengo la kumsaidia kazi maalum Ikulu.
Ilionekana kama hayo majukumu yangekuwa...
Mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu, Jaji Mstaafu Mathew Maimu, anamtuhumu mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa alivuka mipaka kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya mkazi wa Arusha aitwaye...
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF...
Hii nchi bado inahitaji kilanja wa zamu.
Haiwezekani watu wanataja mabilioni ya pesa huku wakimsifu raisi Katoa hizo fedha, wakati huohuo huku mtaani anaonekana hajafanya kitu.
Hizo fedha...
PART 1
Tutakuwa na muendelezo wa mada mbali mbali inayohusu viongozi walitawala nchi zao na jinsi ya walivyoongoza ili wanasiasa na wataalam waweze kuifata kama ni role model wao- Hii itakuwa...
Nauliza tu David Kafulila aka Tumbiri Nyota yake imeonekana kung'aa sana nowadays kiasi Cha kupendekezwa agombee Urais wa JMT
Nini sababu ya Kafulila kukubalika sana kwa Jamii?
Ahsanteni 🐼
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka...
1. Hivi sasa kuna bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu kila mtanzania anapata mkopo ili aweze kusoma.
2. Vyuo vikuu kama UDOM, SUA na vyengine vimeengeza vituvo, curriculum imebadilika, Teknolojia...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mh Nape Mosses Nnauye kasema ukweli usiopingika halafu huyu mama anakuja kumfuta kazi kinafiki wakati ukweli hata yeye mwenyewe Bi Tozo anaujua.
Pia soma > Uteuzi...
Nimekuwa nikitafakari sababu zinazopelekea upinzani kuwa dhaifu hapa nchini ukilinganisha na Kenya. Kwa haraka haraka, upinzani umekuwa ukidorora kwa vile CCM imekwisha gundua udhaifu wa wapinzani...
1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa?
2...
Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende...
Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
watu wengine wanasema ama hata kudhani kwamba sasa Nchi hii itatawaliwa na Marekani ama kufuata maamuzi ya Marekani, mimi nasema hapana Tanzania itaongozwa ama itatawaliwa na Watanzania.
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.