KC Mstaafu wa ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amesema CCM imejenga uchumi Dumavu Usiozalisha Ajira
Zitto Kabwe anasema si ajabu kumkuta mhitimu wa Chuo kikuu akiwa Chawa, Machinga au Bodaboda
CCM...
Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza.
Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni;
1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester...
Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa .
Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya...
CCM ni wajanja sana, na hii awamu ya Mama wamekuwa wabunifu zaidi na zaidi. Unaambiwa wajinga wape msosi washibe na baada ya hapo watafutia michezo au Mada then waachie hapo watajadilu hadi...
Hii nchi inahitaji maono yatayoishi kama muongozo wa kila mtu atayekuja kuliongoza taifa haihitaji mtu.
Akija mtu mzuri akiondoka ndo basi akija mbaya ndo hivyo lazima uwepo msingi wakutuongoza...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima...
Mwaka huu ndio mwaka wa kuona mengi. Sasa Lowassa anavaa Pete ya Freemason kama ishara kuwa yeye ni mmoja wao. Hiki kikundi cha Masonic ni cha waabudu Shetani na wanatumia nguvu za giza kupata...
VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Najua ipo siku utajikuta ni...
Kwa huku iliyotolewa leo tarehe 26/07/2024 je TLS na Serikali wanaweza kukata Rufaa? Endapo watakata rufaa uchaguzi utaendelea au utasogezwa mbele kusubiri maamuzi?
Hongera Mwambukusi kura yangu...
Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa...
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa...
Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii
Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia...
Kule Bagamoyo shule ya Majengo na Jitegemee, watoto jumla watano wametekwa.
Kule makurunge watoto sita wametekwa, waandishi wa habari mko wapi, Wana usalama mko wapi jamani.
Wizara husika mko...
Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ?
Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma...
CCM ndicho Chama kilichoshinda uchaguzi wa jumla.
Kwa upande wa Urais, ni John Pombe Joseph Magufuli.
Ushindi wa CCM na Magufuli ulimaanisha nini?
1. Magufuli alishinda kwa sababu alibebwa na...
Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi.
Ninachofahamu mimi kila position huwa ina...
Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu...
Kwa bahati nzuri Viongozi waliotumbuliwa Uwaziri bado ni Wabunge wa Kuchaguliwa hivyo si vema kuwashushia Heshima mbele ya Wapiga kura Wao
Na kama kuna Kiongozi yoyote anayetatizika kiafya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.