Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MRITHI wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa...
82 Reactions
1K Replies
121K Views
WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini...
3 Reactions
9 Replies
540 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Willaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, tarehe 09 Mei 2024, ametembelea na kukagua Mradi wa Ukarabati wa Hospital ya Wilaya ya Bagamoyo. Ukarabati huo...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Kuanguka kwa uchumi wa Dunia kutokana na COVid 19 kumepelekea Mataifa makubwa kuyumba na hivyo kushindwa kusupport mashirika ya Kimataifa na nchi masikini kama ilivyokuwa awali. Vita...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Kwa mujibu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naenda kwenye maada Moja Kwa Moja hivi 4R za mama Samia chimbuko lake na zilianza kutumika lini hapa Tz. Ahsante naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Wakuu, Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out...
44 Reactions
192 Replies
11K Views
Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Mchambuzi nguli wa Magazeti Maulid Kitenge amesema katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja Kitenge ameuliza: Ni nani huyo? Source: Wasafi media Mlale Unono 😀
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Mimi naona haya mahangaiko ya kutea na kutengua kila siku yanatokana na kosa alilofanya Mh. Rais la kurithi baraza la mawaziri la JPM kama yeye mwenyewe alivyorithi urais. Kwakuwa alikuwa ni Rais...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Kinachosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mbunge na RC kupeana sumu siyo jambo linalopaswa kuandikwa na kusambazwa na vijana wa chama cha mapinduzi wa Chadema. Tukianza kutengeneza Drama...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Ilikuwa unamsikia Suleiman Kumchaya au Jacob Tesha kwenye Taarifa ya Habari RTD kwamba Rais Nyerere amemfuta kwenye Baraza la Mawaziri Waziri Naniliu Hapo Ndio upekuzi wa Sukununu unaanza...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe alishiriki na kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu...
2 Reactions
1 Replies
271 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
MBUNGE WAMBURA CHEGE: "SITARUDI NYUMA, NIMECHAGULIWA NA WANANCHI LAZIMA KUWATUMIKIA" "Tumezaliwa tunazungumzia changamoto za Madaraja, Maji na maeneo mengine. Nimeamua kujikita kwenye shughuli za...
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na...
11 Reactions
77 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
11 Reactions
75 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili...
5 Reactions
81 Replies
5K Views
Back
Top Bottom