Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Miradi ya Meli, SGR na Maji yakwama Mwanza, pesa zinapigwa na Serikali yagoma kupeleka pesa Miradi mikubwa mitatu ya kimkakati iliyopo jijini Mwanza iliyoanzishwa na Serikali ya awamu ya tano...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa miradi na kuona kama inasuasua kwenye maeneo kadhaa mikoani. Ninaishauri serikali na vyombo vyake kusaini mikataba isainiwe baada ya fedha kutengwa. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa. Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye...
4 Reactions
6 Replies
385 Views
Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai...
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Hivi hii Nchi imefikia hatua kiongozi kuumwa ni jambo la Siri? Mbona Kikwete alipoumwa Tezi Dume ilikuwa ni wazi na Kila mtu alijua? Kuna watu mnawatengenezea umaarufu bila hata sababu ya...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Kila tangazo la ajira ofisi husika inajinasibu kuwa inatoa fursa sawa kwa wote, lakini si kweli. Ajira yoyote ndani ya taasisi ya umma utaweza kuipata endapo mabosi wa taasisi hiyo, watoto wao...
1 Reactions
5 Replies
317 Views
Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria Gen Z ya Kenya imesheheni Wasomi wa Sheria na...
3 Reactions
7 Replies
445 Views
Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea. Haya matamshi...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimepokea taarifa ya kusikitisha. Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii
13 Reactions
435 Replies
98K Views
Mnamo mwaka 1985,Mwalimu wa kemia wa shule ya sekondari Sengerema JOHN POMBE MAGUFULI aligombea ubunge wa Jimbo la biharamulo akichuana na mkulima PHARES KABUYE (wote CCM). PHARES KABUYE alishinda...
14 Reactions
63 Replies
10K Views
Baada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo...
25 Reactions
106 Replies
5K Views
Hii nukuu ya Mzee Kikwete nimeikuta huko ukurasani X " Dhamana ya Uongozi haikufanyi uwe na Haki zaidi kuliko Mtu mwingine asiye Kiongozi. Kujishusha hakukufanyi Usiwe Kiongozi" Credit: Elimika...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kwenye vyombo vya habari kumekuwa na taarifa zinazochanganya juu ya kinachomsibu Dk. Mwakyembe. Na kama utangulizi ufuatao nitauzungumza kama hotuba fupi mbele ya watu...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Nadhani hii kauli ilikuwa na kaukweli Kwa mbali ila wahusika walitafutiwa TU timing. Pia soma Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri Lema...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba wakati Mangula akipoteza fahamu kutokana na kulishwa sumu , ndani ya ofisi ile kulikuwa na viongozi watatu tu wa CCM, Bila shaka viongozi wale walimjua mtu aliyempa sumu...
17 Reactions
56 Replies
6K Views
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wanawake Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Semuguruka maarufu "Twiga" amewataka wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuwalea katika maadili ya Kitanzania ili wawe...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na...
15 Reactions
90 Replies
7K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimechukizwa na ugumu wa maisha unaowakabili wananchi kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa, utitiri wa kodi, tozo, ushuru na mazingira magumu ya kujipatia kipato...
0 Reactions
8 Replies
914 Views
Habari zenu wana JF wenzang Baada ya tumbua tumbua iliyofanyika jana, na kupelekea vijana wawili (maadui wa taifa) kutumbuliwa na mwenye nchi yake, inasemekana na kuonekana kabisa kuwa...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Back
Top Bottom