Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles ! Huyu balozi wa...
24 Reactions
64 Replies
3K Views
1. Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kupata Increment kila ifikapo tarehe 1, ya mwezi July kila mwaka. Kwa nini hawajapata hiyo Increment wakati Budget ilipangwa na kupitishwa Bungeni? Hizo fedha...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Una miaka 60+ kwa sasa una nguvu kiasi na una uwezo wa kufanya mambo kadhaa ila baada ya miaka 17 hautakuwa Samia huyu wa Sasa. Pengine Kuna mambo unayafanya kwa ajili ya kizazi chako ila niamini...
21 Reactions
88 Replies
2K Views
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini. Aidha, Mtumishi Mwamposa bila...
7 Reactions
117 Replies
3K Views
Umeelewa nini kwenye katuni hii? Kijana Mtanzania, badili mtazamo Tuwasihi vijana wetu wagombee nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa kuanzia mwaka huu na hatimaye...
3 Reactions
20 Replies
988 Views
Uongozi wa Mh. Rais Samia umejikita Sana kwenye maendeleo ya watu na vitu (miradi) Sisi Wananchi ni mashahidi Toka alipoingia madarakani Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ameponya malalamiko yote...
6 Reactions
121 Replies
2K Views
Leo ni siku ya kumbukumbu ya mashujaa 25/7 Kila mwaka ambapo Taifa linaadhimisha na kukumbuka mchango wa mashujaa waliolipambania Taifa. Na mgeni rasmi wa sikukuu hii Huwa ni Rais ambae ni amiri...
1 Reactions
38 Replies
833 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na jiji la Dar es salaam kesho Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kwa mara nyingine tena akiwa mkuu wa Mkoa wa Arusha anakwenda kujiwekea historia nyingine...
4 Reactions
90 Replies
5K Views
Kwanza nieleweke, hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda...
43 Reactions
119 Replies
10K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa. Naomba maoni yenu kuhusu mambo...
0 Reactions
36 Replies
1K Views
Sikiliza hapa: Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema: "Natoa...
13 Reactions
161 Replies
15K Views
Utekaji na kupotea kwa watoto kunakotokea kwa sasa kuna viashiria vya mikakati ya kundi la watu wenye nia ya kuondoa utawala fulani madarakani. Hali kama hii mara nyingi umalizika kwa kuondolewa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Kuteka hisia za watu na kutawala anga la Siasa hapa Nchini kwa takribani...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Rais wa mabunge duniani Mh .Tulia Mwansasu amekutana na raisi wa urusi Vladimir Putin mjini St Petersburg kujadili jinsi ya kuleta amani duniani. Nilisoma hapo St Petersburg miaka hiyo pako poa...
10 Reactions
45 Replies
12K Views
QUUR-JUWAAN . Nikimnukuu Magoma, Mwanachama wa Yanga aliyekwenda mahakamani kuishtaki Bodi ya wadhamini wa Dar Young African, aliulizwa haogopi Ju-Ju- Man akajibu hapo ndio wasijaribu, kwasababu...
4 Reactions
8 Replies
709 Views
Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi . 1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania . 2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania. Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar...
7 Reactions
108 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao. --- Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
35 Reactions
320 Replies
15K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba. Pia soma >...
17 Reactions
81 Replies
7K Views
Back
Top Bottom