Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika pangua pangua zilizofanyika kwa miaka mitatu sasa zinaonyesha madhara makubwa kwa mawaziri kutoka Bara na jamii inashuhudia kwamba waliotumbuliwa kweli walikuwa na makosa na utovu wa...
1 Reactions
0 Replies
152 Views
Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi...
8 Reactions
2K Replies
173K Views
1.Miezi miwili tu baada ya hiyo tarehe kampuni ya symbion ililipwa zaidi ya billioni 349 na mafisadi kuachiwa licha ya bunge kutoa azimio symbion wasilipwe na waliohusika wafungwe. 2. Licha ya...
59 Reactions
155 Replies
9K Views
Mwishimiwa Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anadai kwamba, Mateka aliyepitia Kituo cha Polisi na baadaye kutupwa porini ili aliwe na fisi wa madoadoa, na baadaye kuokotwa na wasamaria...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa...
18 Reactions
93 Replies
9K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya...
1 Reactions
0 Replies
467 Views
Baraza la Mawaziri lina kitu kinaitwa collective responsibility. Suala la sukari siyo la Bashe, ni suala la Baraza la Mawaziri? Mahakamani tunaenda kufanya nini endapo tunafahamu kwamba haya ni...
1 Reactions
8 Replies
550 Views
Kuna Wakati ukiongea, watu tunapata nafasi ya kujua ujinga au Umahili wako. Umebaki mwaka mmoja tuingie kwenye uchaguzi mkuu lakini hakuna hata flyover moja iliyoanzishwa kujengwa wakati ilani ya...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na baada ya hapo ndio...
13 Reactions
191 Replies
5K Views
Mzee Kinana Salaam, shalom!! Ndani ya chama Cha MAPINDUZI CCM, umewafundisha siasa vijana wengi sana, inawezekana wamefaulu machache kati ya mengi uliyowafundisha, Somo linalohusu uwajibikaji...
2 Reactions
8 Replies
731 Views
Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini, Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja Mama nakusihi epuka mambo haya 1. Usipende kusikiliza...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi , Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana...
30 Reactions
52 Replies
5K Views
Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si...
1 Reactions
2 Replies
473 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini . Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi...
12 Reactions
103 Replies
6K Views
Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana...
53 Reactions
103 Replies
7K Views
CHUKI YA MAKAMBA KWA HAYATI MAGUFULI IKO WAZIWAZI. Pamoja na kwamba hayati Magufuli alitangaza hadharani kwamba amewasamehe lakini kwa mambo yanavyoenda sasa hivi ni dhahiri Makamba na Nape...
30 Reactions
96 Replies
12K Views
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, Freeman Mbowe, John Mnyika baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani kwenye kata zote mtaendelea kumtaja hayati Magufuli kwamba ndiyo amewasababisha mshindwe au...
41 Reactions
204 Replies
8K Views
"Unaweza kumuuwa mwana mapinduzi lakini huwezi kuziua fikra za kimapinduzi," Thomas Sankara. Paul Makonda ametangaza kutaka kuuawa mara tatu kwenye ziara zake kama katibu mwenezi wa ccm! 2020...
32 Reactions
194 Replies
10K Views
Rais Samia umekuwa Rais wa mfano kwa kukamilisha miradi ya aliyekuwa mtangulizi wako bila ya kupiga makelele. Hakika unastahili pongezi toka kwa mtanzania yeyote mwenye kuweza kufikiri...
2 Reactions
11 Replies
641 Views
Back
Top Bottom