Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Taarifa hii iwafikie viongozi wetu wote wa vyama vya siasa hapa Tanzania bara na Visiwani. Uchaguzi Mkuu wa 2030 Taifa la Tanzania litataka aje kijana aliye jasiri na shupavu laki siku yake...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko kali dhidi ya kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia (kubakwa na kulawitiwa) kilichoripotiwa kumuhusu Msichana mmoja kutoka Dar...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kuna watu wameshiriki kikamilifu kuminya uhuru wa habari nchini ni Nape Nnauye. Na Watanzania hawasahau, wametunza kumbukumbu na ndiyo maana wamemfuta katika watu wanaowaona ni viongozi 1...
8 Reactions
12 Replies
832 Views
Prof. Adolf Mkenda Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais. Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo...
4 Reactions
27 Replies
965 Views
Waziri Kombo apokea nakala za Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wateule wa Zimbabwe, Italia na Rwanda nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib...
1 Reactions
1 Replies
258 Views
Ni bayana, Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu...
2 Reactions
71 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
"Niwaombeni chaguzi zinazokuja hizi elekeeni kwenye maendeleo, waswahili wanasema anayekufaa kwa dhiki ndiye nani? sasa ntakushangaa una rafiki mzuri ndani ya nyumba yako anayekufaa kwa dhiki...
3 Reactions
17 Replies
701 Views
Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Magonjwa ya Moyo JKCI imesema inatarajia kuanzisha Matawi ya Tiba Kwenye Nchi jirani zikiwemo Zambia, DRC na Malawi Ili kufikisha Huduma zake za kibingwa huko. Aidha...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Mama vijana hatukudai kabisa 2025 USHINDI ni uhakika We endelea Kutoa ajira
-1 Reactions
9 Replies
330 Views
AHADI YA RAIS SAMIA KIGOMA KUWA LANGO KUU INATEKELEZWA KWA VITENDO: NCHIMBI Asisitiza umeme wa gridi ya taifa Kigoma ifikapo Machi 2025 Apokea mamia ya wanachama wapya, wakiongozwa na Mbunge...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Kanda zote za Chadema zimeshafanya chaguzi za Viongozi wake isipokuwa Kanda ya Kaskazini pekee Mwenyekiti wa sasa wa Kanda ya Kaskazini ni mh God bless Lema lakini muda wake wa kikatiba umekwisha...
1 Reactions
7 Replies
650 Views
CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki...
1 Reactions
12 Replies
493 Views
Tanzania nguvu ya Umma ni Nyomi na kujaza Uwanja wa Lupaso Chadema nguvu ya Umma ilikuwa kujaza nyomi Jangwani na Soweto Ila nguvu ya Umma inayoendelea huko duniani siyo ya kuiiga, ni tofauti...
4 Reactions
10 Replies
495 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU. UTARATIBU Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa...
16 Reactions
82 Replies
4K Views
Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Back
Top Bottom