Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya. Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa...
19 Reactions
109 Replies
4K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi la mahojiano ili kutoa fursa ya...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amekuwa akilalamika kuwa Rushwa ndani ya Chadema sasa imeota mizizi Je, nani mtoa Rushwa mkuu Chamani? Mfadhili wa Fedha za Rushwa ni...
2 Reactions
21 Replies
714 Views
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho...
7 Reactions
56 Replies
8K Views
Wananchi wamemkataa Mbunge wa mchongo wa Jimbo la Singida Mashariki kwa Tundu Lissu.
22 Reactions
50 Replies
4K Views
Wasalaam Tanzania yetu kuja kujitegemea itachukua karne nyingi sana kwa sababu mamlaka za kiserikali za kusimamia makusanya ya kodi zimefeli na hazina ubunifu. Kwa mfano hapa Dar wanaosumbuliwa...
3 Reactions
13 Replies
425 Views
Upinzani kwa ujumla tunamuhitaji sana Halima Mdee msiwalaumu Covid-19 wa kulaumiwa ni JPM Kiukweli, pamoja na yalotokea still upinzani tunamuhitaji mtu kama Halima Mdee Halima Mdee ni asset...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Kyerwa - Omurushaka Karagwe (km...
0 Reactions
3 Replies
258 Views
Hakuna chama chochote Cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo. Ndiyo chama pekee kilicho na sifa zifuatazo: 1. Kina azimio, linaloitwa Azimio La Tabora. CCM walikua...
6 Reactions
35 Replies
752 Views
Kama unabisha jaribu kuwachunguza Wabunge wote wa Chadema waliostaafu utawakuta Wana umaskini Uliotukuka Labda Mbowe, Sugu na Heche ndio Wana nafuu lakini wengine wote akina Upendo Peneza...
1 Reactions
3 Replies
279 Views
Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa. Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za...
0 Reactions
4 Replies
190 Views
Kuna vuguvugu la chinichini la baadhi ya wabunge wa viti maalumu kati ya 19 waliovuliwa uanachama wa Chadema kurejea ndani ya chama hicho. Vuguvugu hilo ambalo pia linazua mjadala wa pande mbili...
0 Reactions
8 Replies
547 Views
Katika jamii kuna vitendo vya kikatili huwezi kumfanyia binadamu mwenzako mpaka uwe na ujasiri, uzoefu na kinga. Ujasiri ni kipaji ama unao au hauna...sifa ya kukosa huruma Uzoefu ni fursa ama...
0 Reactions
3 Replies
239 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa...
2 Reactions
1 Replies
275 Views
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana. Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja...
2 Reactions
11 Replies
540 Views
Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine. Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa...
4 Reactions
24 Replies
830 Views
Walau kulikuwa na baadhi ya mitazamo - ilikuwa inarekebishwa kwa jamii na kuwa mitazo + na ufafanuzi mingi walikuwa wanajaribu kurekebisha kupitia hotuba za mwisho wa mwezi
2 Reactions
3 Replies
279 Views
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi...
21 Reactions
61 Replies
3K Views
Back
Top Bottom