Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na...
Nakumbuka Hata Watoto waliopelekwa Chipukizi Majina yao yalipendekezwa na Walimu wao siyo kama ilivyo sasa Viongozi ndio wanawalazimisha Watoto wao wawe Chipukizi
Wakati ilikuwa ni lazima kwa...
Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana.
Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
Kati ya mambo yanayochelewesha maendeleo ya watu au taasisi binafsi zinazonuia kutoa huduma vijijini kwa wananchi pale ambapo kuna mahitaji ni kukosekana kwa miundombinu kiunganishi kati ya...
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .
#ChamaImaranaSSH
#KaziIendelee
Lissu akiwa Iringa alilaumu na kukemea Rushwa iliyotapakaa CDM kutokea CCM yeye akimsema Mama Abdul na kuwa ndiye chimbuko la tatizo Kwa kauli yake. Rushwa hiyo ikielekea Chadema na kuwa hali...
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si...
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini...
KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma...
Salaam, Shalom!!
Haya pia ni madhara ya kubaki na chama kimoja kikuu cha upinzani.
Tukijiuliza jwa sasa, CHADEMA bado kina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani, wangapi watakubaliana na HOJA...
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa...
Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika...
Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi?
Shida Biteko baada...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika ili uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye sekta ya kilimo, mifugo...
Rais Dkt. Samia ameridhia ombi la wanaushirika la kuunga mkono juhudi zao ya kuanzisha Benki ya Ushirika ya Taifa kwa kuchangia mtaji wa Shilingi Bilioni 5.
Hali ndani ya Chadema si shwari. Kama imefikia hatua kiongozi mwandamizi ndani ya CHADEMA bila aibu anampeleka Abduli kwa Lissu kumshawishi achukue rushwa. Tena anamwambia kuwa watu kibao ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.