Kwa kutumia mifano na bila mihemko,
Elezea kauli hiyo kwa kifupi huku ukibainisha kinaga ubaga, sabababu chache za msingi za chama hicho kupoteza nguvu, mvuto, umaarufu, ushawishi na kuaminika...
KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA
Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wananchi wa Mayanga, kata ya Lubungo mpakani na kata ya Lukobe wamefunga barabara inayopita maeneo hayo leo tarehe 12 mwezi wa nane 2024 kuanzia saa mbili asubuhi. Hadi kufikia saa sita mchana...
Kwa Chadema hii iliyosambaratika kila eneo ni ajabu kuona bado inaogopwa kuliko Vyama Vyote vya Siasa nchini
Kiukweli Mzee Mtei, Bob Makani RIP, Tuntemeke Sanga RIP na Ngaiza walitengeneza...
Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema...
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba...
Maoni yangu tu kwa serikali na nchi yangu pendwa Tanzania.
Kumekua na Sintofahamu kubwa sana haswa kwa vijana wanaokesha mitandaoni, au watanzania wanaotumia mitandao. Kuna uhuru mkubwa sana wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku!
Aksanteni sana
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika...
Lini mlishuhudia kaabiri kwenda nje na kurejea siku lilelile!?
Lini alidumu na kuzunguka kwake kutafuta na kupima upepo wa ki siasa kama ilivyo hivi karibuni!?
Lazima lipo jambo tena lililo na...
Watanzania tuna bahati mbaya sana kuongozwa na chama kama CCM.
Na bahati nzuri kwa CCM watanzania wengi wanashindwa kuitofautisha CCM na vyombo vya Dola.
Lakini hiki chama ni dhaifu Sana na...
Yaani mguu nje, mguu ndani, wakati wowote mwenye nyumba anatoa notice ya mtu kutimuliwa pangoni na wakati wowote vile vile uzalendo unamshinda mpangaji anaondoka anahamia kwingineko.
Ni kirusi...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amesema kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara nyengine...
"Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA.
Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa...
Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana.
Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao.
Soma Pia:
Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Watanzania tumejitahidi sana kujenga umoja bila kujali rangi, dini, asili na hata kwa kiasi kikubwa bila kujali makabila yetu. Makabila yetu mbalimbali yameweza...
Nimeitaja ACT-WAZALENDO kama chama ambacho kidogo kina muonekano kwa jamii leo hii japo siyo kikubwa kuliko CHADEMA.
Kinachoendelea kati ya jeshi la polisi na CHADEMA si uhai kwa vyama vya siasa...
Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.
Swali.
Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.
1. Nini maana ya Mungu
2. Nani...
Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri wa Elimu?
Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha?
Ni swali tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.