Salaam, Shalom!!
Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake.
Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z
Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi...
Na kwa vyovyote vile watakuwa wakifanya kazi kwa tahadhari kubwa na inapobidi "kumzunguka" watamfanya hivyo.
Tatizo kubwa ni ukosefu wa subira pale mteuzi anapopokea umbea wa mteule. Anakurupuka...
JAMHURI YAMUUNGANO WATANZANIA
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WAANGA TANZANIA (TCAA)...
Kwenye Baraza la Mawaziri la sasa ni yupi kati yao unaona kabisa hana tija?
Kwanini unaona kwamba amefeli kutimiza wajibu aliopewa?
Je, amefeli kwa sababu amekabidhiwa sekta asiyo na uzoefu nayo...
Kwenye utawala wa Magufuli wakati wote Jenista Alitoa kauli za kuvunja na kukatisha moyo na pengine kebehi kwa watumishi.
Kuna washauri waliokusudia kabisa kumfanya mama Akose mvuto kwa kundi la...
“Naenda Mahakamani kufungua kesi kwanza ya kuvunjiwa mkutano wetu bila sababu, pili Viongozi na Wanachama wetu kupigwa bila sababu, tatu kukamatwa bila sababu, nne kufungwa bila sababu, tano...
Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani.
Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea?
Uchaguzi umeisha...
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Tanzania , Profesa Kabudi , anapaswa kukamatwa na kuhojiwa kwa kudanganya Umma na Kusababisha Taharuki , huyu anaweza kuropoka mengi machafu waliyokuwa wanafanya kwa...
Kuna Viporo fulan cha KM na wanafunzi kadhaa wa mtume wanatemwa akishatoka kwa tolu
Na Zakayo Mrefu anapitiwa muda si mrefu
Madagaskar ndo uwa anatolea mkeka
Britanicca
Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo.
Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata...
Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa...
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba .
Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha
Na tushauri...
Habari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu...
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒
Je, kwa mustakabali wa siasa za...
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala...
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa.
" Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi...
Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana.
Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la...
UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF).
Kabla ya uteuzi huu Bwana Benard Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo
Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.