CCM wana roho njema sana, sasa wamechukua jukumu la kuhakikisha Tundu Lissu anapata gari. Chadema wameshindwa kumpa gari kiongozi wao mkuu.
Nashauri kila mkutano wa CCM wamchangie Lissu, na pia...
#Updates kesi ya bandari leo 28th July 2023
Majaji wote watatu wanaingia muda huu saa 09: 44 asubuhi.
MAJAJI watatu;
1. Hon. Ndunguru
2. Hon. Ismail
3. Hon. Kagomba
Wote wameinama wanaandika...
SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo.
Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa
Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya...
Mtu kuweza ku-perform vizuri ni pale unapompa kazi inayoendana na hulka yake.
Maadam afande Awadh kila alipopita inaonekana ni mtu mwenye hulka ya kupenda kupigana, hulka ya kutotaka kutumia...
Habari zenu members of jamiiforums,Mimi pia ni buheri wa afya,nimeandika uzi huu mahsusi kabsa kwa minajili ya kudurusu mfumo wa uongozi wa serikali yetu.
Ingawa watu wanasema mama ana upiga...
Mosi, karibu katika ENEO LA KIMKAKATI(Free up-Busy Signal).
Natambua Uwepo,Amani ikawe juu yetu,katika kanuni ya uwepo tangu zamani na hivi karibuni.
Natumaini Uwepo, kwa sababu ya Uwepo wote na...
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo...
Hiii michango ya akina Maria Sarungi na Amos ni Siasa za kutwezana tu
Kama ni michango ya CCM kwa Tundu Lisu basi ilishatolewa na yule Mbunge wa CCM Zanzibar aliyemkodia Chopa kadhalika Rais...
Habari zenu wanachama wa Jamiiforums. Mimi pia ni mzima wa afya, na nimeandika uzi huu mahsusi kwa minajili ya kudurusu mfumo wa uongozi wa serikali yetu. Ingawa watu wanasema mama ana upiga...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu...
Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya.
Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia!
Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
Hawa ndugu zangu wana tabia za hovyo za ujivuni, kibri, hapa duniani tabia hizo hazijawahi kumsaidia mtu.
Mtu kama Mwandosya kama siyo ujivuni na kibri angekuwa mbali. Mwangalie mtu kama...
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya...
Wadau.
CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo.
Matokeo Kamili:
Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata...
Ingekuwa kwenye nchi ya kidemokrasia na inayoiishi demokrasia, Waziri Nape Nnauye angeshapoteza uwaziri na ubunge wake muda huu. Angepoteza kwa shinikizo la wananchi au kuondolewa na Rais...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba...
https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana...
WanaJF,
Mtakumbuka kuwa ni siku chache tu zimepita tangu Rais Jakaya Kikwete afanye uteuzi wa wakuu wa wilaya ambapo katika uteuzi huo, Paul Makonda Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.