Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi...
10 Reactions
98 Replies
7K Views
3.-(1) The United Republic is a democratic, secular and socialist state which adheres to multi-party democracy.
1 Reactions
6 Replies
176 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Balozi huyo amefika kumuona Bwana Sugu baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitali, ambako alilazwa akiwa Mahututi kutokana na kipigo cha Polisi wa Tanzania...
52 Reactions
200 Replies
8K Views
Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa...
1 Reactions
27 Replies
867 Views
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IOM KUWEZESHA VIJANA Tanzania imesisitiza kuendelea kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa lilanoshughulikia Wahamiaji (IOM) kuwawezesha vijana kiuchumi ili...
1 Reactions
8 Replies
354 Views
1. PDF (mkeka) mmeuona (Chief kasepa na kijiji). 2. CHADEMA wanapotezana huko. 3. Press conference imechunda. 4. Siasa akili mtu wangu.
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.
4 Reactions
7 Replies
355 Views
Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya. Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na...
12 Reactions
123 Replies
7K Views
Ukiwa na mipango lakini ya hovyo hovyo isiyoeleweka wala kutekelezeka utapuuzwa tu na Wananchi. Utajipigia kelele kelele mwenyewe wee bila kuungwa mkono na yeyote. Ukikosa hekima na busara katika...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili. Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Tsh. Milioni 5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi. Je 2025 akiwashinda watampisha kiti? Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu...
2 Reactions
9 Replies
625 Views
Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka! Kazi iendelee!
6 Reactions
55 Replies
7K Views
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA. Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Heshima sana wanajamvi, Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana. Katika hatua ya kujiondoa...
22 Reactions
110 Replies
6K Views
Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake? Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona Jumaa Mubarak 😃
1 Reactions
6 Replies
239 Views
Katibu mkuu wa CCM na anayejiita mchungaji ambaye amehama CHADEMA na kujiunga na CCM kisha kuanza kuishambulia CHADEMA wameanza kumfanyia LIssu na CHADEMA dhihaka, dharau na kejeli kwa kujifanya...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof. Kabudi atafaa sana...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa pia kuhusu Julius Nyerere. Palamagamba Kabudi pia aliwahi kuwa mwandishi wa habari. Hivyo kolamu / column ya...
8 Reactions
79 Replies
23K Views
Back
Top Bottom