Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji.
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
Inadaiwa wakubwa wamefura kwa hasira kuhusu kichwa cha habari kolezo kuhusu tukio la maandamo kule Simiyu.
Inasemekana Mhariri wa jarida hilo anapigiwa simu nyingi kuhojiwa kuhusu hilo.
TAARIFA KWA UMMA
Baraza Kuu la Wanawake Chadema linawatangazia wanachama wake mambo yafuatayo;
Tumefuatilia kitu kinachoitwa TK Movement na Kujiridhisha kwamba wapo baadhi ya wanachama wetu...
Sina uhakika kama katiba inawatambua hivyo ila kulingana na mifumo ya utawala wa nchi yetu wakuu wa mikoa na wilaya ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama.
Ningependa kufahamu ni nini hasa...
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila...
Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi...
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook
"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu...
Namtafuta J.J. Mnyika wa wakati huo, sio huyu ambaye yuko cloned. Mnyika yule aliyekuwa anajenga hoja nzito, Mnyika yule akiwa hana madaraka ya chama, hamalizi muda hajatoa "jiwe", Mnyika yule...
Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa.
Lakini kwa...
Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na...
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali...
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!
Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo
Swali langu ni dogo tu hapa...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo.
Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anawakaribisha Wabunge na Wananchi katika Wiki ya Nishati itakayofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 15, Aprili 2024 hadi...
Masai karibuni Msomera. Kutoka Boma la majani mpaka nyumba ya Block, Barabara, Maji, nyumba Bora, shule, vituo vya Afya, Free Wi-Fi l ballna ardhi yenye rutuba. Mpewe nn tena.
Najaribu kuwaza na kufikilia unampaje mtoto jina hata hanazaliwa? Wanasiasa wa Tanzania ni watu wenye vituko kuliko. Yani uchaguzi haujafika wanalia wataiibiwa.
Hivi munaiibiwaje kabla kura...
C&P
RAIS na Mwenyekiti wangu wa chama hongera kwa majukumu bila mapumziko ya maana. Mambo ni mengi yanaendelea hapa nchini yanayoweza kuikwaza chama katika chaguzi zijazo.
Most. Suala hili la...
Watanganyoka tunapigwa na kitu kizito.
---
Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining...
Uchaguzi wa TLS uliomalizika umeghubikwa sana na mivutano ya kichama kwani rais mpya wa TLS aliyechaguliwa, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa nchini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.