Zimekuwepo hoja nyingi kinzani dhidi ya maamuzi ya serikali yetu adhimu kuwataka raia wenzetu wa Ngororongo kuhamia Msomera wilayani Handeni Tanga.
Awamu ya kwanza na ya pili ,waziri mkuu...
Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.
Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa...
Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana.
Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea...
Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika...
Bila shaka ilikuwa katika kuitumia falsafa ya Mandela:
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his own language, that goes to his heart."...
kuna wimbi la watu kutekwa kalibu kila siku, lakini vyomba vya ulinzi na usalama ambavyo ni jeshi la polisi pamoja na selikali wako kimya, sijui sababu wahanga si wanachama wa CCM, na wote...
Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi...
Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai!
Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya...
Tuelewane
CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo
CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha
CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende
CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata...
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini...
Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia...
Tanzania na Japan kuna wakati tuliambiwa kuwa biashara kati ya Japan na Tanzania hazitatumia dola tena tutatumia tu pesa zetu madafu kuagiza Japan na Japan wakitaka chochote kwetu watatulipa kwa...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini Kwa sasa, ni dhahiri kuwa CCM ishaanza rasmi kumnadi mgombea wake wa Urais wa mwakani, ambaye ni Samia Suluhu Hassan.
Tumeshuhudia katika ziara alizofanya...
Kumbe Maskini Hamas wenyewe wala hawataki Vita ni sisi tu tunaowalazimisha. Ni sisi tu tunaelewa uwezo wao ulivyo mkubwa wao wenyewe wameshachoka hayo maisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na kujionea vivutio mbalimbali vya wanyamapori kwenye maonesho ya...
Kwema Wakuu!
Sitaki kujua Nani yupo Sahihi na Nani hayupo Sahihi.
Nafuatilia wanachofanya Wamasai Huko Ngorongoro.
Nimevutiwa na umoja waô, hii inamaanisha soon watakuwa na Ñguvu.
Nakumbuka...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mama yetu na Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kabisa kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sijawahi...
Niende moja kwa moja. Ikiwa CCM watamsimamisha Samia kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu 2025 sitampigia kura yangu kwa sababu zifuatazo.
1. Matukio ya utekaji yanaongezeka siku hadi siku. Sijui...
Zama Hizi pamekuwa na utamaduni wa serikali au Wanasiasa kujitangaza hadharani kwamba watagharamia mazishi
Naomba kuelimishwa mazishi ya Waislamu serikali inagharamiaje?
Ni hilo tu
cc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.