Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote...
Wote wenye Nia ya kugombea nafasi za uongozi hasa uchaguzi wa nafasi ya Urais mwaka 2025 wajikite kwenye masuala ya Usalama na uchumi.
Kwanza, wajikite kwenye kuimarisha Usalama wa nchi. Hali sio...
°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na...
Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii.
Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina...
Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana.
Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile.
Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu...
Watumishi wa umma hasa viongozi wakuu wa taasisi na mashirika ya umma wamesafiri kutoka Dodoma na mikoa mingine kwenda Zanzibar .
Wasanii na waandishi wa habari wamekusanyika Zanzibar
Vikundi...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kabla sijaenda mbali naomba ku declare interest kwamba mm ni mtu mwenye asili ya Zanzibar. Nimesikitishwa sana na aina ya uwekezaji ambao mama Samia ameufanya...
Tunakumbushana tu kwa sababu wengine wanadhani Sifa za Chato na Kizimkazi zimezuka tu kama uyoga
Nyerere ndio alikuwa akiimbiwa na Watanganyika wote kwamba Fikra zake ni Sahihi hivyo zidumishwe...
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba...
Wanabodi,
Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo...
By Our Correspondent, Ngorongoro.
In a stern and resolute address, the Minister of State in the Prime Minister’s Office for Policy, Parliament, and Coordination, Hon. William Lukuvi, delivered a...
Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za...
Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF!
Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au...
Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao...
Kesi ya mbowe imeuonyesha umma mkubwa utendaji wa jeshi la polisi ambao haukuwa unafahamika na wengi. Bila kujali hukumu ya mwisho ya kesi hii kwa washtakiwa wote wanne jeshi la polisi na tasnia...
Nje ya kurasa za CCM na IKULU hakika unapoanzishwa mjadala umhusuyo Samia watu wanaponda tena waziwazi na hawaogopi siku hizi!
Mfano ipo mada ya Samia kuitaka CRDB iharakishe ujenzi wa uwanja...
Friends and Our Enemies,
Jana nimemsikiliza Godbless Lema,Kada na Mbunge za zamani wa jimbo la Arusha akiendelea na siasa zake za upotoshaji na kuganga njaa kuhusu suala la wamasai na...
Wakuu
Tunaishi kwenye nchi ambayo wasanii wanawaomba sana wananchi wawape support kwny muziki wao au kazi zao sanaa lakini wananchi hao hao wakipata shida kama kutekwa, kuonewa, kukamatwa na...
Nimesoma taarifa ya RPC wa Dodoma juu ya sakata la unyanyasaji wa kingono aliofanyiwa Binti moja ambaye taarifa zake zilisambaa na kujadiliwa Sana mitandaoni na kwenye vyombo vingi vya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.