Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina atamba kwa kusema Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumfukuza.
"Yani mimi ni fukuzwe kwa kuwasema hadharani wezi, mimi nifukuzwe kwa kukataa Wananchi...
Swali la kwanza
Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa?
Majibu tota kwa mdau
@G na wadau wengine Swali la kwanza.
Kuna aina mbalimbali za mikataba...
Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini?
Washambulizi wa Biashara
Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari...
Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:-
Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa
Kuhusu demokrasia ndani ya vyama...
Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria...
Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu.
1...
Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya...
MIAKA mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan akabidhiwe kijiti cha kuiongoza Tanzania wadau wa demokrasia wanaielewa falsafa yake ya 4R yaani maridhiano, ustahamilivu, mageuzi na kujenga upya...
Uamuzi wa kufanya hafla na matukio mbalimbali Kizimkazi, Zanzibar, umeibua mijadala nchini. Baadhi wanahoji uamuzi huu wakihisi huenda ni upendeleo kwa eneo hilo. Hata hivyo, kuna sababu na faida...
Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga.
Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata...
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kusikiliza...
Wakuu salaam,
Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote.
Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza...
Hii HOJA inanitatiza sana, nilisikia Kauli kuwa Tamasha la Mama Kizimkazi limedhaminiwa na Rais Samia, ila nimejaribu kudadavua sijapata kuelewa hata kidogo.
Viongozi karibu wote wa serikali...
UVCCM muwe na roho ya Upendo, kama familia ya Shujaa Magufuli na Kanisa Moja Takatifu La Mitume hawana tatizo na Tundu Lisu kuweka shada la mauwa kwenye kaburi la Shujaa Magufuli nyie ni nani hadi...
MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti...
Ili chama chochote au serikali youote hata familia idumu lazima ifate hii principal ya kanisa katoliki kwamba mdogo akifikia hatua ya kushine sana kuliko mkubwa lazima institution husika ife tu...
Kama upo makini na ufatiliaji wa maendeleo ya Tanzania basi utagundua kwa hiki kipindi ni kama kuna uzinduliwaji na ujengwaji wa miradi Mingi kwa kasi upande wa Unguja na Pemba nitainisha kwa...
Madhabahu za Wanasiasa zinaongezeka Kwa Kasi na kufanya ibada za miungu kutapakaa kila mahali
Unaposhiriki ibada kwenye madhabahu ya Mwanasiasa fulani ujue Mwanasiasa huyo kwako ni mungu...
Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM.
Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.