Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii nchi tuko hapa tulipo kwa kukosa maono, nchi inaendeshwa kihuni sana. Ukiangalia swala la Ngorongoro ni uhini mtupu pale. Unawafukuza wamasai wenye nyumba za majani unaruhus7 wawekezaji...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Akiwa kwenye mkutano wa kampeni Monduli amesema yeye na Lowassa wameinunua Chadema bill 78 ingawa baadae alistuka na kubaki CCM. Mbunge huyo wa geita ambaye hivi karibuni nyumba na mali zake...
44 Reactions
85 Replies
12K Views
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema baadhi ya Wakuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wamekuwa na vitendo vya kukamata Wananchi bila sababu ya msingi. Ameeleza jambo hilo limetokea katika jimbo...
0 Reactions
1 Replies
350 Views
Wakuu, kulingana na mwenendo wa kesi inayoendelea mahakama kuu divisheni ya uhujumu uchumi, tumewashuhudia maafisa wa jeshi la Polisi wakionesha kutoifahamu vizuri PGO, kifaa ambacho wao...
60 Reactions
221 Replies
27K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
2 Reactions
97 Replies
2K Views
Maamuzi ya Jaji Wilson Nyansobera yanasubiriwa kutolewa muda sio mrefu kutoka hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam juu ya shauri lililoletwa mahakamani na Deusdedith Soka, Jackob...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda. Hakika ana mabadiliko makubwa sana na amezungumza kwa weledi. Amejitahidi kuelezea na kuangazia maswala ya kiuchumi na miradi...
7 Reactions
4 Replies
594 Views
Wakuu, Kwahiyo ili kujustify zuio la mikutano ya CHADEMA mkaona mtufanyie haya maigizo ya kuzuia mkutano wa CCM!:rolleyes::rolleyes: CCM na Polisi hivi mnafikiri wananchi hawa wa leo ndio wale...
2 Reactions
2 Replies
298 Views
Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa: "Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo." Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono. Haipo shaka hawa ndugu...
2 Reactions
6 Replies
612 Views
Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam. Pia...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
millardayo @millardayo Jeshi la Polisi limesema baada ya kuendelea na uchunguzi na mahojiano kuhusu vifo vya Watu watatu ambao miili yao imefukuliwa nyumbani kwa Mganga wa kienyeji aitwaye...
1 Reactions
0 Replies
214 Views
Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi...
1 Reactions
31 Replies
775 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Mbunge wa Kisesa mh Mpina Luhaga amesema Mjinga yoyote Atakayejishughulisha kuhatarisha Maisha yake atakufa Nimeogopa sana, hii inanikumbusha enzi za akina Mzindakaya " niguse nikuroge"...
16 Reactions
63 Replies
2K Views
Polisi wanatamba kuwa kutotii sheria utakamatwa na utachukuliwa hatua za kisheria. Kuna kundi kubwa la watumiaji wa barabara wanamiliki bajaj na bodaboda nchini, kundi hili liko juu ya sheria...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita...
0 Reactions
12 Replies
486 Views
Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu...
12 Reactions
118 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia. Hatua yako...
0 Reactions
10 Replies
822 Views
Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Nini kimeifanya CCM iachane na idea ya Dr.Bashiru ya kutokutumia wasanii? Tena alidai ujumbe katika nyimbo za kina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, Dula Makabila, etc haziwachomi MABEBERU...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom