Usilalamike wakati wewe mwenyewe ukiambiwa haya taja vyanzo vipya vya mapato Tanzania hujui, Kama wewe kijana hapa JF na Wazee hamuwezi kutaja vyanzo vipya vya mapato ukiacha kodi za madini, Paye...
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa...
Magufuli alizuia Benard Membe (RIP) asiende kazi ya AU, akamzuia pia na Sirvacus Likwelile (RIP) na Liberata Mulamula kwa kazi za Ukamishna walizopata AU.
Rais Samia siyo tu ame mu-endorse Dr...
Je ni nani anatakiwa kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura?
1. Ambaye hakujiandikisha 2019/2020
2. Ambaye ametimiza miaka 18 sasa na 2019 alikuwa hajafikisha umri huo
3...
Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui ametembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni, Comoro na kufanya mazungumzo na Balozi wake, Mhe. Saidi Yakubu.
Katika mazungumzo...
Waziri Mkuu Akijibu Maswali ya Papo kwa Papo, Bunge la kumi na mbili mkutano wa 16 kikao cha 3 tarehe 29 Agosti, 2024
Update....
Waziri Mkuu Ametoa majibu ya matukio ya utekaji yanaendelea...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu...
Mchana wa leo rafiki yangu ambaye ni msaidizi wa kigogo fulani nimeshangaa ananiaga eti anatakiwa kupanda flight kuelekea Dodoma boss wake ametakiwa na Bunge kwenda kutoa maelezo kwenye Kamati...
UPDATES
KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA,GEREZA LA MAWENI TANGA.
Timu ya mawakili waliopiga kambi Jijini Tanga ikiongozwa na Wakili Peter Kibatala, Wakili Michael Lugina na Wakili Deogratius Mahinyila...
To quote:
The positive role that judges could play in Africa has been hampered by
1. The increasing politicization of the judiciary,
2. Judicial corruption,
3. Lack of resources and
4...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni swali tu nauliza kuwa baada ya Mheshimiwa Faustine Ndugulile kuchaguliwa kuwa mkurungenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika,naamini kuwa itambidi Mheshimiwa mbunge atumie...
Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi.
POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia...
Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume...
1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao?
2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.