Comrades,
ladies and gentlemen..
CCM hoyeee ✊
Ndugu zangu wanachama, mabalozi, viongozi wa mashina na matawi popote mlipo.
tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji baadae mwaka...
Kwa nionavyo mimi nchi yetu inako elekea ni kubaya sana.
Nasema hivi kwa sababu katika utawala huu unao jiita awamu ya sita bila ilani ya awamu hiyo, imeifanya nchi kuonekana inafanya promo ya...
Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii...
Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu.
Komredi Makalla alitumia...
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na...
ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)
Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo...
NI KISHINDO JIMBO LA MBAGALA MWENEZI MAKALLA AHITIMISHA ZIARA YA MAJIMBO 10, DSM USHINDI MKUBWA SERIKALI ZA MITAA
Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla na...
WAFANYAKAZI wa migodi wametaka Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) irudishwe bungeni kwenye mkutano ujao ili kipengele cha fao la kujitoa kiondolewe mara moja.
Mbele ya wajumbe wa Kamati...
Kama kuna jambo Serikali ya Awamu ya kwanza inapaswa kujivunia basi ni kuruhusu Tanzania kuwa na Baraza Huru la Waislamu
Ikumbukwe Taasisi nyingi za Dini nyingine zinawajibika kwa Viongozi wao...
Habari wanajamvi,
Nimekuwa naona kwenye majukwaa mbalimbali ya siasa, wanasiasa wakisema kuwa watachapisha fomu moja tu ya Urais. Napenda kujua Who, au which group has that authority ndani ya...
Inasikitisha sana kuona Bunge la Tanzania likipitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kuchangia mifuko...
Hili suala la Soka na wenzake kutekwa, tayari nimeanza kuchukua hatua. Kwanza nimewaandikia barua kamati za bunge zinazohusika na mambo ya nje bunge la seneti USA na EU kutaka wasitishe misaada...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wakiwasili bungeni Jijini Dodoma tayari kwa kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa 16 wa Bunge.
Miongoni mwa mambo yatakayoenda...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa...
Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu...
Naongea na mheshimiwa Lukuvi uliyeongoza ujumbe mzito na wenye matumaini Kwa watu wa Ngorongoro. Dunia na watanzania Kwa ujumla walikuwa wanafuatilia Kila Neno ulilotamka Kwa jamii ya watu wa...
Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020.
Ni...
Hello !
Asubuhi asubuhi mwananchi yuko mlangoni kwa diwani kutaka chai , mchana ugali. Akiwa na mgonjwa kama hana pesa ya dawa mbio kwa diwani kuomba msaada.
Sasa diwani analemewa analazimika...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki.
Tanzania bila utekaji na kuumizwa inawezekana .
Ipo vedio hivi ya kijana ambae inaonekana anajulikana kwa jina SATIVA ,simfahamu ila yupo...
Wadau nawasalimu.
Kumekuwa na Matumaini Makubwa ya baadhi ya Wananchi kuwa Ujio wa Bw.Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kutaubadilisha Mkoa wa ARUSHA na kuwa kama Mji wa DUBAI.
Matarajio hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.