Mfanyabiashara Maarufu aliyeongoza kampeni za Mbunge wa Arusha Mwaka 2010 Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Mboya amenusurika kifo baada ya kuchomewa Nyumba yake usiku wa kuamkia Leo...
Rais Kikwete ndiye rais aliyekuwa akisikiliza kelele za wapinzani. Walikuwa wakisema anawaita ikulu kwa ajili ya mashauriano na kutafuta suluhu.
Rais Magufuli alipoingia madarakani, alitangaza...
Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme...
"Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za kushirikiana kukijenga chama (CCM), nitashirikiana na wengine kuzunguka Tanzania nzima...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa.
Ameyasema hayo leo tarehe 11 Septemba, 2024 Jijini Dar es Salaam...
Hayati Rais Mwinyi, tofauti na viongozi wote wa CCM wa sasa hivi, ndiye pekee ambaye alikuwa tayari kukiri kukosea inapodhihirika alifanya makosa. Hiyo ni tabia ya mtu muungwana, mtu anayeamini...
Wana JF
Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake...
Nakubalina na Mzee Butiku,kuna kikundi Cha wahuni na Watekaji ambao inawezekana Bado wako Serikalini na ambao waliasisiwa awamu Ile iliyopita Sasa wanajaribu kuichafia Serikali ya Rais Samia...
Nilikuwa nawaza hapa kwamba CCM ndio chanzo cha matatizo yote haya, lakini hapana wananchi wanaoikalia Tanzania ndio chanzo cha mfumo mbovu wa siasa zilizopo nchini.
Mohamed Kawaida, Tulia Akson...
Serikali imeendelea kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini. Katika kipindi cha julai 2023 hadi machi 2024 jumla ya shilingi bilioni 187 zilikopeshwa kwa wachimbaji ukilinganishwa na...
Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na...
Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho, na kwa sababu wao wamekataa kulifikisha mwisho, sisi tutawalazimisha walifikishe mwisho. Ili tufanikiwe...
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya...
Ndugu zangu Watanzania, itambukwa kuwa kumekuwa na utekaji, utesaji na mauaji kwa ndugu zetu Watanzania hapa Nchini. Kutokana na kushamiri kwa vitendo hivyo viovu, binafsi napendekeza siku ya...
Nampongeza sana kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe kuonesha ukomavu wa kisiasa kuhimili misukosuko kila inapojitokeza amekuwa na utulivu sana mwenye hekima hasa kunapotokea chama kinapitia hali...
Hii kamatakamata ya watu so called wa Taasisi inaleta loopholes za hata majambazi na watu wengine kujifanya nao wana mandate ya kukamata watu hivyo kupelekea maisha yetu mtaani kuwa ya hatari...
Kutokana na hali inayoendelea kwasasa kutekwa, kupigwa, kupotelea kusiko julikana pamoja na kuuwawa imefanya kupoteza upnzani kwa vyama vya siasa na watu wote wenye chachu ya kugombea wameingiwa...
Fikiria ahadi kama hii ambayo inahusu usalama wa maisha ya Raia yaliyo potea na hakuna lililo fanyika bali ahadi hewa!
Nani atakuwa na imani tena na kiongozi huyo? Wananchi kama WAAJIRI wanapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.