Yanayoendelea sasa hivi hapa nchini yamenifikirisha sana na kunikumbusha wakati wa ZCO ACP ya Abdallah Zombe.
Baada ya uchunguzi wa Tume ya Jaji ikagundulika kuwa wale waliouwawa na polisi eti...
Mambo vipi wadau?
Kwa jinsi hali ilivyo ya mambo na matukio tunayoendelea kushuhudia hivi katika jamii ni dhahiri kuwa serikali inapaswa kuchukua hatua na tahadhari kubwa kuelekea Uchaguzi wa...
Ukiangalia historia ya Marais nchini utagundua kuwa Marais dhaifu hutengeneza mazingira ya kuwabebesha lawama wateule wao. Kikubwa zaidi, viongozi dhaifu wana hulka ya unafiki.
Mwanasiasa mnafiki...
06 September 2024
SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024
https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi...
Kama kweli tunataka kutokomeza Utekaji na mauaji Kwenye Nchi hii ni vema tukaanika kila kitu bila kufichaficha.
Mafwele ametangulizwa mbele lakini kikosi chake kina wakina nani wengine?
Je RPC...
Tulia Ackon hajawahi kusimama upande wa umma hata siku moja Japo chombo anachokiongoza kinawakilisha sauti ya umma.
Amekua akizuia hoja zote zinazowakiliaha sauti ya umma. Yeye ndiye kapunguza...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu na kama ikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake anaweza kuhama, hii kauli inaweza kutamkwa na mtu muadilifu, muungwana na anauechukizwa na maovu...
Kwa kuwa hakuna demokrasia wala haki ndani ya CHADEMA, wanachama wao wameniomba niwasaidie kuchapisha barua yao kwenye ukurasa wangu huu nami nikiamini kuwa CHADEMA inapaswa kuishi yale...
Wametekwa na kupotezwa Ben Saanane, huyu mzee Kibao, kuna makamanda kibao hawajapatikana mpaka sasa.
Mlichobakiza ni kulalama huko X na JamiiForums.
Je, siku Chairman akitekwa na kupotezwa?
Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.
Kabla hakujapoa, Ngorongoro...
Sijajua nini nini kinaendelea katika taifa letu hususani kuhusu hali ya siasa za upinzani nchini.
Nilitegemea baada ya tukio lilotokea juzi basi hasira za umma zingewaka na kuitikia hituba ya...
Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa.
Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM...
Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na...
Hivi Samia ni nani hasa asikosolewe? Kwa lipi hasa? Mtu mwenyewe hata uwezo wa kuongoza hana, hana sifa za urais kile kiti kinampwaya walikosolewa kina Magu, mkapa na Jk seuze yeye?
Kwani...
Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali.
Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪
Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa...
Ndugu wanajukwaa,
Sio mara Moja au mbili maandamano kuonesha matokeo chanya huko duniani kiasi Cha kubadili kabisa hali na mfumo mzima wa maisha lakini pia yameonesha ni chaguo la mwisho la...
Wakuu Salaam,
Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga...
Habari waungwana!
Je ni kwanini nchi yetu haimpi nafasi mgombea binafsi kugombea na kushika nafasi mbali mbali za kisiasa ikiwemo ubunge na Urais. kwani kwa maoni yangu hii ya kua lazima uwe...
Kupitia Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma, Serikali imepeleka Bungeni Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa.
Pamoja na Mambo mengine, Sheria inapendekezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.