Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno) Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi...
24 Reactions
243 Replies
6K Views
Salamu, Napata wakati mgumu sana nikiwaza juu ya kuuawa kwa Rtd Officer, Ally Mohammed Kibao, natafakari sana na sijaweza kuwa sawa kuhusu kifo cha huyu mtu muhimu sana kwa Taifa. Nawaza ya...
2 Reactions
4 Replies
375 Views
Kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwa nyakati hizi hatuna viongozi au...
11 Reactions
110 Replies
1K Views
Baba Askofu Dr Shoo wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini baada ya kumaliza vipindi viwili vya Uongozi wa kikatiba mkutano Mkuu wa Kanisa hilo umemuongezea miaka mingine 6 ikiwa ni Muhula maalumu Askofu...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze. Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli. Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao Mengine wanamwachia Allah...
15 Reactions
68 Replies
6K Views
Mamlaka tueleze kama kuna utaratibu unaruhusu kuendesha gari hisiyo na namba tunapata hofu tunapokutana nazo Kumekuwepo na gari ambazo zimekuwa zikiendeshwa barabarani bila kuwa na ‘pleti namba’...
15 Reactions
51 Replies
2K Views
Mara ya kwanza kumshuhudia Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Antipas Lisu akiwa Kanisani Katoliki ilikuwa ni Jimboni Kwake Singida baada ya Ule mkasa wa Kupigwa risasi Leo tena nimemshuhudia...
11 Reactions
84 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki kifupi kama miezi mitatu hadi sita, upepo wa kisiasa hausomeki. Matukio tunayoyaona mengine si tu siyo ya Kitanzania lakini yanakinzana na hata mila, utamaduni, umoja wetu...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
CCM inaamini Kwamba binadamu Wote ni Sawa CCM inaamini Kwamba Kila MTU anastahili Haki ya kuheshimiwa na kutambuliwa UTU wake Rushwa ni Adui wa Haki, Usitoe wala Usipokee Rushwa Nawatakia...
1 Reactions
7 Replies
157 Views
Nimejaribu kutafakari kauli hii ya mchungaji msigwa nikajiuliza maswali yafwatayo: 1.kibajaji na komba wanawezaje kuongea na kupigiwa makofi na maprofesional? 2.kwa nini sheria za bunge ni kwa...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Jirani zetu Kenya ambao wamebadilisha vyama vya kuongoza serikali zaidi ya mara 2 wanaonekana kupiga hatua kubwa tu ya kimaendeleo.Bajeti ya Kenya iliyopitishwa inaonyesha kushusha ushuru na kodi...
17 Reactions
46 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri...
5 Reactions
92 Replies
3K Views
Ndugu Masheikh Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba. NIANZE NA SULE Wakati wa sakata la...
32 Reactions
125 Replies
5K Views
Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania...
15 Reactions
69 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ameamini Ekaristi takarifu inaponya na inaleta undungu, kufuatia kitendo cha Padri Dkt. Charles Kitima kuwakutanisha pamoja Katibu Mkuu wa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Ushauri wangu kwa chama tawala, Ili kuimarisha umoja zaidi, kupunguza mianya ya rushwa, kuongeza udhibiti katika chama na kuwezesha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa ufanisi na ubora zaidi ni...
0 Reactions
10 Replies
310 Views
GTs, Nadhani kila mmoja ni shuhuda wa yanaoendelea kuhusu nchi yetu. Kuna mambo kadhaa mengi ambayo kila mtanzania anayalalamikia, moja wapo ufisadi, kutokuwajibika, watu kutekwa na wanaojiita...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom