Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali amesema Katika...
India
https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY
UK
https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts
Ukrain
https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte
Nigeria...
Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Hayo...
TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Chama iliyoketi kwenye kikao chake cha kawaida tarehe 17-18 Septemba, 2024 Jijini Dar Es salaam pamoja na ajenda nyingine imefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) amejibu kauli ya Rais Samia kuwa 'Kifo ni Kifo tu' amesema
"Ni kweli vifo vipo vingi na watu...
CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...!
Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana.
CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi...
Jaji Mstaafu, Mzee Joseph Sinde Warioba akitoa hotuba yake katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali siku ya leo Alhamisi Septemba 19, 2024 katika...
Wakuu,
Katika Mkutano leo Rais Samia amejitapa kuwa nchi ipo salama, lakini pia utalii na uwekezaji unaongezeka. Kwa matukio yanayoendelea ni kweli kuna usalama? Wewe jibu unalo lakini pia...
Duniani kote upinzani wana agenda ya ajira kwa vijana na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi.
Kwa Tanzania mambo ni tofauti upinzani wanasera nyepesi mno utasikia tunataka uchaguzi wa haki na...
Kauli yako kuwa Balozi za Kigeni ambazo zilikemea na kutaka Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao (ukiilenga hasa Marekani) kuwa zilifanya hivyo bila ya Baraka za Marais wao umeikosea mno Kuisema.
Na...
Viongozi wa Chadema, mnao wateka, kuwakamata, kuwafunga, na kuwanyanyasa watu leo. Katika mazingira haya ya kisiasa, ni muhimu kutambua kwamba vitendo hivi vinaathiri sana demokrasia yetu. Kila...
Wanasema wataandamana! Kwani wameanza Leo ? Chadema ipi ambayo tukae tunazozana tangia majuzi Chadema hii ya Mbowe, Mnyika na Lissu? Labda kama ipo nyingine. Kwani wameanza Leo kuandamana ? Nini...
Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe.
Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na...
Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu.
Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye...
Ubovu wa barabara ya Tanga-Pangani umepelekea wenye magari na madereva wao kusitisha huduma za usafiri kutoka stendi kuelekea maeneo ya Tangasisi, Bwagamoyo, Mwakidila, Mwahako, Mchukuuni mpaka...
Niseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali...
Wizara ya Maji imepanga kutumia Sh. bilioni 145.77 kujenga mradi wa maji katika miji 28, ili kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa ya Songea, Ruvuma. Waziri wa Maji...
Uhaini, ugaidi, mauaji, mapinduzi, uchochezi hayana dhamana kwa mtuhumiwa.
Sheria iko hivyo kulinda maslahi ya watuhumu na pia maslahi ya mtuhumiwa.
Kabla ya kukamilika kwa ushahidi, mtuhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.