Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama kuna watu wanaotakiwa kusoma alama za nyakati vizuri basi watu hao ni polisi wetu. Kwa muda mrefu wamejiweka juu ya sheria kwamba wanaweza kuvamia popote na kumkamata mtu yeyote bila kufuata...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue...
41 Reactions
369 Replies
57K Views
Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
“DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa...
2 Reactions
0 Replies
144 Views
..Nadhani Rais Samia akimsikiliza huyu Mama wa Chadema ataelewa alipokosea. ..Ni dharau na kiburi kilichopitiliza na ukosefu wa maadili kufanananisha wanadamu na wanyama wenye mikia...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Aliyekuwa kaimu IGP Masengeli yuko Mahakamani muda huu akiomba msamaha kwa Jaji na Mahakama Aidha Masengeli anaomba Mahakama imfutie kifungo cha miezi 6 Jela alichohukumiwa baada ya kuidharau...
2 Reactions
6 Replies
485 Views
Ilikuwa Ijumaa Moja tukiwa Viwanja vya Karimjee Ndio nikamwambia Mzee Prof Malima kwamba katika miujiza mikubwa ya Yesu ni ule wa kumfufua Lazaro, kisha ule wa kuwaponja Wakoma 10 na Kipofu...
0 Reactions
10 Replies
645 Views
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili. Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇 My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Naomba niwashirikishe taarifa hii ambayo nimeipata jana. Pamoja na kuwa binafsi siungi mkono mtindo wa kuyapeleka mahakamani magazeti(ila naunga mkono kama njia zote zikiwa zimepitiwa na bado...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi Hizi ni habari za ukweli zisizo na maswali. Nimelazimika kufungua accunt Jamii foum tangu jana ila ilichelewa kupata verification. Nimesikitishwa sana na Ziara ya Kimya Kimya ya...
62 Reactions
188 Replies
22K Views
Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabiziwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliridhia waliokuwa...
2 Reactions
102 Replies
19K Views
Tujikumbushe matukio muhimu yaliyotokea hapo awali ktk nchu yetu na majirani zetu Pia. Pamoja na mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu msala huu wa Utekaji, utesaji, upoteaji na mauwaji ya Raia...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Watanzania; Salaàm! 1. Nilifuatilia hotuba za viongozi wa CHADEMA katika msiba na maombolezo ya Kibao kule Tanga - nikiona ipo changamoto kati ya taasisi hiyo na Serikali yetu pendwa; 2. Niliona...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Ombwe kubwa la wachambuzi na wabobezi wa hotuba linapelekea kila mmoja kutoa tafsiri kwa utashi wake na mrengo wa aliko egemea maana wanao jikita kutaka kuchambua wengi wana mirengo ya kisiasa...
4 Reactions
14 Replies
339 Views
Katika siku za karibuni, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), haswa katika dayosisi ya Kaskazini, ambapo Askofu Dr. Shoo amepata ugumu...
6 Reactions
107 Replies
5K Views
Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani alipo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa CHADEMA wanamsaka. Vijana...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Bugando ambae pia ni Rais wa TAHLISHO ndugu Mdede ambaye alikua anajiandaa kurudisha fomu ya kutetea kiti chake cha urais chuoni hapo ametekwa tangu...
3 Reactions
71 Replies
9K Views
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya. Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa...
3 Reactions
185 Replies
40K Views
Back
Top Bottom