MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Eliezer Feleshi, amesema haoni mantiki yoyote au uhalali wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), kumshitaki Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Alisema hayo janai wakati...
Gazeti la Mwananchi limeweka wazi kwamba upanga wa dhahabu aliokabidhiwa Mwema kama ishara ya kuwa mwenyekiti wa jeshi kwa kipindi cha mwaka ameshindwa kuukabidhi kwa mwenyekiti mpya na...
Ni vema Chadema mkapunguza Maneno Maneno na sifa za Kijinga
Mnaposema Waandamanaji wenu wamejaa kwenye Hotel zote za DSM mnataka kuwaletea usumbufu wa Bure Wageni wa hizo hotel
Ni vema...
Wanabodi
Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!.
Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai"...
Sasa karibu kila kijiji kina zahanani na kwenye kata kuna kituo cha afya.
Nadhani lengo la CCM ni kupata kura ili waendelee kutawala na si kutatua changamoto za wananchi ndani ya jamii.
Sasa...
Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na...
Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amefanya mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Juu wa Comoro Mhe. Bacar Mvoulana juu ya kuongeza ushirikiano katika Sekta ya Elimu.
Balozi Yakubu...
European ambassador in Tanzania shown the door
ISSUE 1484 DATED 02/11/2018
The head of the European Union (EU) delegation in Dar es Salaam, Roeland van de Geer, has been asked by the government...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao...
Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama...
Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo.
Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa"
Kauli hizi za wananchi...
GEN-Z WANANYOOSHA KENYA, WASIOJULIKANA WANA-RUN TANZANIA
DESEMBA 9, 1961, Tanganyika ilipopata uhuru, Watanganyika wote walisherehekea kuwa huru. Baba wa Ali Kibao, babu wa Deusdedith Soka na...
Hakika siku ya leo tarehe 29/03/2018,Mimi Joseph Yona mtanzania maskini na familia yangu ya PAVEA niliyetekwa na chadema tarehe 06/01/2014 katika ardhi yangu ya Tanzania na kuharibiwa direction...
Rais alihutubia Taifa Jana..
Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania.
Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu...
Pamoja na vibaraka wa Wazungu kina Chadema kujaza seva mitandaoni walijaribu kuonesha eti hotuba ya Rais Samia haikuwa nzuri kisa amewachana wao na waliowatuma ukweli ni kwamba Imetikisa Africa na...
Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.