Mara nyingi nimeona sio makonda tu Bali jamii yetu kwa sasa imegeuza watumishi wa mungu ndio dampo la taka taka ! Yaani mtu anakuwa na interest ya dini yake au Imani yake anaanza Kutukana Kila...
Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo...
Mimi kama Mtanzania nilikuwa nametegemeo makubwa sana Rais Magufuli alivyokuwa Rais kwasababu nilijua atasafisha nchi hasa kwa rushwa. Kitu ambacho sijajua wakati ule ni kwamba Rais Magufuli...
Akizungumza na Wananchi wanaohudhuria Kongamano kubwa la Operesheni Washa Taa linaloratibiwa na Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameyashangaa...
Raisi Samia naomba nimpe ushauri wa wazi bila kufanya haya utapata shida sana na siasa za Tanzania
1. Utaratibu wa kuwaachia usalama wafanye maamuzi muhimu ya nchi watakuja kukupotosha. Kuna...
Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya...
Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania
Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama...
Kwa hivi karibuni Chadema imepandishwa sana kwasababu ya busara za Mh Mbowe. Raisi Samia wakati ana punic hovyo, kuhujumiwa bila kujua na kuamini walewale wauajui bila kujua Mbowe amekuwa anaongea...
Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo
1: siasa safi itazaa tunda la Amani
2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia
3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza
4:Siasa safi itaruhusu...
Ukiniambia nikae mbele ya TV asubuhi mchana usiku kwa ajili ya kumuangalia Military GENIUS General Paul Kagame siwezi kuchoka wala kusita! Sikatazwi kusema Paul ni mmoja ya viongozi bora wa kizazi...
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri...
Habari zenu wakuu,
Kama mnavyo jua serikali yetu Haina misingi imara ya ajira kwa watu wake hivyo kutegemea sector binafsi kutatua angalau tatizo la ajira inchini
Na tunapo zungumzia sector...
Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia...
Fatma Karume anasema:
Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye...
Zingatia matukio matatu yafuatayo:
1) Tarehe 21/9/2024 (Jumamosi)
Muda: 08:30 pm
Tukio: Young Africans (TZ) vs CBE (Ethiopia)
Competition: 2024-25 CAF Champions League
2) Tarehe...
Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara wa CCM kuibuka mshindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es...
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali
Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia...
Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu.
Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.