Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hasssan, Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Kijana anayesemekana aliingizwa chupa sehemu za haja kubwa na Mheshimiwa Naibu Waziri (Mstaafu) na Mbunge wa Babati Mjini anastahili huduma za kisaikolojia vinginevyo tutampoteza Kwa kadhia Ile.
4 Reactions
11 Replies
645 Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika...
10 Reactions
161 Replies
10K Views
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi. Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya...
11 Reactions
83 Replies
2K Views
Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...?? Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO.... hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za...
3 Reactions
13 Replies
324 Views
Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku...
3 Reactions
21 Replies
697 Views
Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba...
4 Reactions
15 Replies
546 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas. Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa...
11 Reactions
133 Replies
8K Views
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo...
1 Reactions
4 Replies
468 Views
Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu...
25 Reactions
64 Replies
3K Views
Leo ahsubuhi, mnamo saa mbili Polisi wakiwa katika mavazi ya kiraia walifika nyumbani kwa Dkt, Slaa kwa nia ya kumchukua. Dkt Slaa ambaye wakati huo alikuwa anasikiliza maoni ya Watanzania...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
My Take Tanzania imeendelea kutuma ujumbe Kwa Mabeberu hasa USA kwamba hatupangiwi na hatuchaguliwi rafiki. Tanzania imepiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa linaloitaka Israel...
6 Reactions
88 Replies
2K Views
Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au...
2 Reactions
12 Replies
289 Views
Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani. Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
0 Reactions
28 Replies
374 Views
Hata uyahudi wapo waliomwabudu mungu wa baali aliyeogopwa Sana akiitwa ni mungu wa radi au mungu wa dhoruba Hata siasa za Dunia ya Leo wamwabuduo mungu baali wapo ndio Sababu sisi tuliokombolewa...
1 Reactions
3 Replies
135 Views
Ndugu wananchi wazalendo wa nchi hii hebu tujadili kwa kina. Inakuaje mchina na marekani wanapigana vikumbo nchini mwetu? Ni nani kati ya washindani hawa wawili wenye malengo ya kiuchumi anaweza...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, anatarajiwa kutoa tamko la chama hicho juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania. Viongozi na Wafuasi wa chama hicho wanajadili kwa kina...
25 Reactions
85 Replies
4K Views
Katiba Ile Ile, tume Ile Ile, wakurugenzi wale wale wa 2020, mnategemea miujiza?
6 Reactions
24 Replies
459 Views
Back
Top Bottom