Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu...
Dar es Salaam. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024.
"Lissu amekamatwa nyumbani...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia uimara ,weledi ,uzalendo ,utayari, ushupavu, umadhubuti,umakini na uhodari wa vyombo vyetu vya ulinzi na...
WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo...
Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana.
Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AONGOZA WANAWAKE 300 KUJIUNGA UWT WILAYA YA MOSHI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amefanya Mkutano katika Kata ya Kahe Mashariki, Moshi...
Mpaka sasa, CHADEMA wameshinda maandamano. Nashauri ahirisheni maandamano kwa leo, kaeni kama siku mbili hivi, tangazeni maandamano mengine ili tu kuwapa pressure watesi wenu
Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya...
Yaani unatoka nyumbani kwako kabisaa, ukiwa na afya njema. Wengine maskini ya Mungu hata nauli ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine hawana, wamelipiwa tu na wafadhili wa maandamano kwasababu ya...
Nimepata habari muda huu huu kwamba ajali mbaya imetokea Wilani Njombe , na katika ajali hiyo Mh.Salome Mbatia amefariki. Mtoa taarifa hakuweza kunieleza zaidi maana alikuwa na wasi wasi ila...
Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama...
Viongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO...
Waungwana wa JF, husikeni na mada ya hapo juu.
Nikiri wazi kuwa katika kufuatilia kwangu siasa za Tanzania kupitia redio, magazeti, runinga na mitandao ya kijamii, sijawahi kuona au kusikia...
Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake.
Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata...
Siku ya kilele ya Utamaduni Ruvuma ni tukio linalokusudia kuenzi, kuhamasisha, na kulinda utajiri wa mila na desturi za mkoa huo na Tanzania kwa ujumla. Mkoa wa Ruvuma, ambao umekuwa ukijivunia...
Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali.
Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.