Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tumpe tu Maua yake na kama itampendeza Mpendwa Wetu mh Rais Samia Basi amvute kwenye ile nafasi ya Msemaji wa Magogoni Baadae Mlale unono 😀
2 Reactions
13 Replies
577 Views
Ilitegemewa Muda huu makamanda kwa maelfu wawe Selo kuonyesha walimaanisha walipotangaza maandamano lakini kuwatia moyo Viongozi wao Kwa Bahati mbaya makamanda wote akina Tindo, Retired...
12 Reactions
22 Replies
1K Views
Tumefika Segerea kumtembelea Mahabusu huyu mpya, Ametuambia mambo mawili, Moja la Kuchekesha na lingine la Kutafakarisha. La kwanza, Baada ya kunyolewa Nywele zote kichwani ameomba sasa Aitwe...
15 Reactions
47 Replies
2K Views
Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
United Nations General Assembly-UNGA, hufanyika mara moja kwa mwaka. Kikao hiki ni cha Umoja wa Matsifa ambapo kila nchi inawakilishwa na Rais au kiongozi wa juu nchini. Mwaka huu Rsis inaelekea...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Tukio la kamatakamta la CHADEMA limetikisa nchi na kumchafua mama. Watu wameingiwa na hofu kuhusu uchaguzi ujao, je tufanye nini sasa? Polisi lazima waangalie upya utendaji wao, wafanye kazi kwa...
0 Reactions
10 Replies
408 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Majimaji iliyopo Mjini Songea Mkoani Ruvuma, kwa lengo la kutoa heshima ya Kumbukizi ya...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Tofauti ya jeshi la polisi Kenya na Tanzania. Tanzania polisi wanaheshimiwa na wananchi wakisema hiki hatutaki wananchi wanatii tofauti na Kenya Kenya wananchi utii kwa Jeshi la polisi uko Zero...
1 Reactions
9 Replies
405 Views
Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please! Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
14 Reactions
51 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA. Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA...
25 Reactions
98 Replies
2K Views
Kuna dalili kwamba wananchi wa Tanganyika wanakabiliwa na hofu kubwa ndani ya mioyo yao. Wakati wanapowaona polisi, wanawafikiri kuwa ni wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kwa upande...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana kwenye video akikamatwa wakati anaongea na waandishi wa habari. Hapo ni kabla ya kufanya maandamano ambayo hata kama angeyafanya katiba ya Jamhuri ya...
4 Reactions
9 Replies
781 Views
Hatima ya dhamana ya Boniface Jacob "Boni Yai," itajulikana leo, Septemba 23, 2024, wakati Mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya Serikali ya kuzuia dhamana yake. Boni Yai alikamatwa na...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Familia za Makada na Viongozi wa Chadema ziko wap? Watanzania wenzangu kabla ya kukubali na kufuata yale wanayopanga kufanya Chadema kwa Watanzania tujiulize hizi familia za viongozi na Makada wa...
4 Reactions
91 Replies
2K Views
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuruhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumatano Januari 24.2024 ni ishara ya utekelezaji wa falsafa ya 'R4' iliyoasisiwa na Rais wa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya...
25 Reactions
114 Replies
4K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Nikicheki kwa jicho la mwewe ni kuwa kitendo cha kutumia nguvu kubwa sana kudhibiti haya maandamano ya CHADEMA ni kuihujumu serikali ya Mama Samia na kuipaka uchafu. Wanaomshauri Rais wapigwe tu...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom