Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Usinichoke na ukinichoka nipotezee Je wajua watanzania wakiwa kwenye vyombo vya usafiri UPOTEZA ufahamu wote na ndio maana ikitokea ajari WANAKUFA WENGI? Ushahidi ni huu hapa Alivyotekwa Mzee...
3 Reactions
17 Replies
679 Views
Friday, September 20, 2024  In the first seven months of 2024, the international tourism landscape witnessed an impressive surge in visitor arrivals in several countries, showcasing not only a...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale...
2 Reactions
8 Replies
344 Views
Unapozungumzia Wizara ya Afya unakuwa umegusa moja kwa moja Afya za watanzania hivyo unahitaji mtu makini . Katika hii wizara tunategemea kutakuwa taaluma zaidi kuliko maigizo na siasa . Ummy...
2 Reactions
8 Replies
606 Views
Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Ndugu zangu Watanzania, Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana...
10 Reactions
148 Replies
3K Views
Kamanda Muliro amesema Wananchi wamefurahia kuimarishwa kwa Ulinzi na wamekuwa wakipiga simu za pongezi Muliro amesema Ulinzi huu hautokani na Chadema Kutangaza Maandamano bali ni katika...
13 Reactions
159 Replies
4K Views
Ndugu Magufuli kama kweli anataka nchi iendelee na iwe ya viwanda na lazima tuwe tunazalisha kwa mwaka minimum megawatt 5,000 kama kweli tuko serious na sio hizi ngonjera za uchumi wa viwanda na...
14 Reactions
88 Replies
8K Views
Wakati CHADEMA wanaelekea kwenye Ofisi ya Mkurugenzi kudai barua za viapo, polisi walivuruga na kuanza kupiga mabomu zikiambatana na risasi za moto kwa wapenzi na wanachama wa CDM eneo la...
76 Reactions
1K Replies
133K Views
Yaani kwanini Jeshi la Polisi ?? Kijana Johnson Josephat ambaye shughuli yake inaelezwa ni kuuza vyuma chakavu mkazi wa mtaa wa Mulieti amefariki dunia katika mtaa wa Eso ambapo ameifanya kwa...
4 Reactions
8 Replies
853 Views
Wasalaam ndugu zangu, Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama...
5 Reactions
38 Replies
756 Views
Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Ndugu zangu watanzania, Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwanachama wa Chadema mh Malisa GJ amesema Katibu mkuu wao mh John Mnyika yuko salama hapo Kanisa Katoliki Msimbazi Center jijini DSM Malisa amesema Mnyika anaendelea na Maombi yake ya Novena...
12 Reactions
157 Replies
3K Views
Well, well, well…..kama nilivyotarajia, maandamano ya jana yalibuma. Hakukuwa na jipya. Kujua kwamba maandamano yangebuma ilikuwa ni sawa na kutabiri kuwa wiki ijayo, kuanzia Jumatatu hadi...
6 Reactions
11 Replies
524 Views
Kukosekana historia ya kupigania taifa leo, imeiacha nchi katika mgawanyiko mkubwa. Hakuna kitu cha kutuunganisha watanzania kihistoria. Pengine vita ya Kagera ingeweza kutumika kujenga uzalendo...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa. Katika hotuba ya rais Samia ya...
27 Reactions
91 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna...
2 Reactions
93 Replies
1K Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Katika kuendelea kuchochea Uwajibikaji na Utawala Bora JamiiForums mwaka huu 2024 imekuja na kitu cha tofauti kwa kutambua mchango wa Taasisi za Kiserikali pamoja na Viongozi wanaokuwa mstari wa...
7 Reactions
12 Replies
951 Views
Back
Top Bottom