Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo...
Napendekeza Bajeti ya Bunge ipunguzwe na Fedha zielekezwe Wizara ya Mambo ya Ndani
Tunahitaji Vituo vya Police kwenye Ofisi ZOTE za Serikali za mitaa
Ebu fikiria mtu anafia Ndani ya Gari...
Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake...
Wajanja wa nchi hii wametuletea kilevi hatari kwa taifa letu, kiasi kimekolezwa na kesi za akina Magoma zinazoipotezea muda mahakama zetu.
Wakati bodi ya vilevi hairuhusu baa kuuza pombe saa za...
Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka...
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa katika miaka hii mitatu yamekuwa ni makubwa sana na kuwa kama ndoto au miujiza kwa wananchi wengi na waheshimiwa wabunge katika...
Ni dhahiri ya kwamba chama cha makamnda kimeshindwa kabisa kuwa na mikakati yenye kuvitia watanzania wa rika mbali mbali .
Kushindwa kuwa na mikatati thabiti kunasababishwa na yafuatayo...
Ni kuhusu barua iliyotolewa na Makamba na Kinana kuhusu kuchafuliwa na Musiba. Ni Maelekezo ya Kinana Kumtaka Nape aisambaza barua kwenye vyombo vya habari.
Kinana: Mwambie bwana hawa jamaa...
Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa uchungu mkubwa sana na hisia kali sana amesema na kuwaomba sana wananchi...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa...
Ndugu Waandishi wa Habari.
Leo nitazungumza nanyi. Naomba tukutane katika Hoteli ya Double Tree,Dar es Salaam. Muda nitawaeleza baada ya muda mchache ujao. Mjulishe mwenzako.
Lusinde (MB)...
Wakuu,
Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa;
Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale...
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm leo amezungumza na waandishi wa habari na kukemea kitendo cha Paul Makonda kutumika na kuwahusisha viongozi wa kiislamu na harakati za Lowassa kwenda Ikulu
Sheikh...
Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha...
Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.