Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baada ya katuni ya samaki tuliyoijadili jana, leo manzania mwenye kipaji cha hali ya juu ametuletea tafakuri nyingine. Karibuni tuchangie mawazo. Nionavyo mimi, mtu ambaye amejifungia ndani...
12 Reactions
14 Replies
1K Views
Siku zinakwenda namkumbuka Tupac Amar Shakur 2Pac msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki wa hip hop,Alijitokeza sana kuhamasisha vijana na jamii kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa,Nyimbo...
0 Reactions
4 Replies
451 Views
Kuna madai yaliyo tolewa huko London mahakamani kwamba Tigo muliwapa watu fulani data za kumfuatilia Tundu Lissu. Mbona mmekaa fofofo hadi sasa hamseki kitu? Mpaka sasa hamja kanusha kwamba ni ya...
2 Reactions
6 Replies
541 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amekutana na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kisiwa cha Anjouan na ujumbe wake na kuwahimiza kuzidisha uagizaji wa bidhaa toka...
1 Reactions
1 Replies
389 Views
Nimeshangaa sana. Yaani mkuu wa upelelezi unapeleka kiapo Mahakamani ili mtuhumiwa asipate dhamana? Primary objective ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa kama kuna...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Ni kosa kwa raia kushirikiana na nchi hasimu katika masuala yanayoharibu taswira ya nchi yake kimataifa na kuathiri uchumi au usalama wake. Raia ana jukumu la kulinda maslahi ya taifa lake, na...
2 Reactions
27 Replies
725 Views
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Waziri wa Usalama Prof Kindiki amesema Maandamano ya Gen Z ni Uhaini na wapambe 5 wa Makamu wa Rais mh Gachagua wanahusika Source Citizen TV Sijajua Maandamano ya Chadema yatatafsiriwaje...
1 Reactions
10 Replies
518 Views
Pindi anapojitokeza lissu kutoa tamko flani utawaona watu wengi wanajitokeza kujifanya wapo pamoja nae, lakini Lissu anapowaita wamuunge mkono kwenye jambo mfano ni 23/9/2024. Kila mmoja bila...
-1 Reactions
22 Replies
751 Views
Ingekuwa Tanzania sijajua ingekuwaje ila hapo Kenya ni wazi Taasisi za Dini hasa Wagalatia hawapendi kulipa Kodi Mitume wameugomea muswada wa serikali unaopendekeza Sheria Mpya ya Taasisi za Dini...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Kama Mtanzania na mwanadamu wa kawaida, bila kujali wewe umeegemea upande gani kisiasa, nina hakika ulipata muda wa kutafakari na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu sakala hili la maandano...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Baba wa Taifa la Iran ameribariki kundi la Hezbollah na kusema Myahudi Lazima atwangwe Source: Al Jazeera news
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2024, baadhi ya askari wameonekana...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/akutwa-amefariki-dunia-ndani-ya-gari-magomeni-4774280
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata...
6 Reactions
100 Replies
4K Views
Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya...
18 Reactions
85 Replies
3K Views
Siku ya jana wilaya ya Tunduru mkoa wa Ruvuma kuna mgonjwa alitolewa kwenye kituo cha afya ili akatibiwe. Kwakua gari la wagonjwa hakuna ilibidi abebwe kwenye tenga na kwenda kutibiwa. Hali hii...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Huyu hapa ni Mwamba Kabisa wa Siasa Barani Africa, Freeman Mbowe, Akiwa amezingirwa na Polisi wa Tanzania wenye silaha za kivita Waliotumwa kumkamata kwa Makosa ya Kupinga Utekaji na Mauaji...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema ni miongoni mwa watu waliofika Mahakamani leo kufuatilia dhamana ya Meya wa zamani wa Ubungo na Kinondoni, aliyeko kizuizini baada ya...
2 Reactions
5 Replies
894 Views
Back
Top Bottom