Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimemsikiliza Waziri Mchengerwa na Rais Samia kuhusu wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga Kata ya Mchoteka Wilayani Tunduru na kujiridhisha kuwa WAMEDANGANYWA, hawajapata picha halisi. Kwenye...
0 Reactions
7 Replies
493 Views
Hoja inajegwa hapa kuwa TIGO ilifatilia na kuisaidia serikali kujua uelekeo na mahali Mh. Lissu alipokuwa. Wakati Lissu amajenga hoja kuwa alishambuliwa akiwa mbuge, wakati wa vikao vya bunge...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Akiongea na Wasafi FM leo Spika wa bunge Mh. Tulia Ackson amesema anashangaa kwanini hadi leo hii polisi bado inamshikilia Kombo Mbwana kada wa CHADEMA. Mbwana alipotea tangu June 15 baada ya...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Nyie mnaomsema Rais vibaya, kwanini mmechagua njia ya kumnenea uongo mama wa watu? Au kwa kuwa Likud nimekaa kimya? Mnataka nionekane mkorofi eti eeh? Hata Steve Wonder anaweza kuliona hili...
30 Reactions
172 Replies
5K Views
Rais Samia atoa bil. 246 maendeleo Tunduru
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Bwana Naibu Rais Gachagua ameshindwa kuendana na Rais Ruto hivyo inafanyika mbinu Kumuangamiza Kisiasa. Bwana Gachagua amekuwa akilalamika kwamba Serikali inatumia Vyombo vya Dola Kunyanyaswa...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Mzee Jakaya Kikwete aliwaasa wanaccm wenzake kujifunza kujibu hoja za kisiasa kwa njia za majukwaa ya kisiasa, Kwamba kama wakisema CCM haijafanya kitu waonyesheni barabara, shule, na mambo...
3 Reactions
34 Replies
968 Views
Mbowe ni mjanja sana ameona ustawi wa makundi ndani ya CCM umeleta njaa ndani ya Vyama vya Upinzani ameamua kutoka kivingine Kwa sasa keki inagawiwa kwa Watoto wa ndani ya Ndoa hata kama wengine...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania...
20 Reactions
44 Replies
1K Views
Muda wa maandamano ya vyama vya siasa Bado kabisa, ukifika hakutakuwa na chombo kitakachoweza kuyazuia kufanyika. Hakuna nguvu itakayoweza kuzuia nguvu ya umma muda ukitimia. Sasa hivi mnachofanya...
3 Reactions
33 Replies
726 Views
Wanajukwaa Kwema! Siku zinahesabika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini kote. Sasa swali la kujiuliza vipi muamko wa Wanawake wa...
0 Reactions
2 Replies
206 Views
Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia...
17 Reactions
90 Replies
3K Views
26 September 2024 WANANCHI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 TARIME MJI Posted on: September 26th, 2024 Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mji...
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Spika Dr Tulia PhD amesema duniani Kote hakunaga Serikali inayogawa Fedha Kwa Wananchi kuwapunguzia makali ya ugumu wa maisha Dr Tulia amewataka Wananchi kutumia fursa za kiuchumi zilizopo...
2 Reactions
11 Replies
297 Views
Nauliza tu Kwa Nia njema Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?! Jumaa Mubarak 😃🌹
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Siku chache tangu zisambae picha mtandaoni kwamba kuna wagonjwa wanapelekwa hospitalini kwa kutumia matenga huko mkoani Ruvuma, Rais Samia jana ameamu kujibu mapigo. Akiwa anahutubia jana huko...
0 Reactions
3 Replies
307 Views
Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s...
24 Reactions
61 Replies
4K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari...
15 Reactions
192 Replies
28K Views
Back
Top Bottom