Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Muda huu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Mikocheni...
0 Reactions
5 Replies
570 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CCM ni Baba lao, ni tumaini la watanzania,ni nuru ya wanyonge,ni nyota ya matumaini.Hiki chama ndio kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio...
3 Reactions
92 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge hadharani.kitendo walichofanya BAWACHA na kuungwa mkono na chama...
7 Reactions
143 Replies
3K Views
Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa...
21 Reactions
88 Replies
7K Views
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwenge wa uhuru tunavouchukulia inaweza ikawa tofauti na tunavyodhani. Nadhani viongozi wa mbio za Mwenge wanaenda ku report Kwa Rais mambo mazito, hawajali Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya...
4 Reactions
9 Replies
679 Views
UTANGULIZI Katika mazingira ya kisiasa yanayoendelea kubadilika, mchakato wa uchaguzi unachukua nafasi muhimu katika demokrasia ya nchi. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazokabili mchakato...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
SHIKAMOO SIMIYU, YAJA NA MITANO TENA Maelfu ya wananchi wa mji wa Bariadi na vitongoji vyake waliofurika kwenye mkutano mkubwa wa hadhara mjini hapo wamemtuma Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi...
4 Reactions
17 Replies
487 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
2 Reactions
76 Replies
2K Views
Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ? Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi. Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa...
0 Reactions
3 Replies
289 Views
Rais Magufuli aongelea sakata la makontena ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda Asema kwa mujibu wa Sheria ya Fedha, Sheria ya Madeni, Sheria ya Dhamana na Misaada ni mtu mmoja tu aliyepewa...
72 Reactions
2K Replies
179K Views
Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa. Sasa ni zamu ya DW. Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu. Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja...
28 Reactions
118 Replies
5K Views
Niaje waungwana Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa...
29 Reactions
243 Replies
6K Views
Juzi nimefungua uzi wenye kichwa cha habari, "USHUHUDA: Jinsi kampuni za mafuta zinavyokwepa ushuru" nikatoa mfano mmoja wa kampuni ya OILCOM inavyokwepa ushuru. Kuna watu wameni-inbox vitisho...
214 Reactions
935 Replies
145K Views
Wakati serikali ikiendelea na zoezi la kuunganisha na kufuta baadhi ya Taasisi na Mashirika ya Umma, nashauri tutoe maoni na mapendekezo juu ya mashirika na taasisi zinazostahiili kuunganishwa...
5 Reactions
121 Replies
10K Views
Kwanza kabisa naomba ijulikane wazi kuwa Mimi ni Mkristo, hivyo ninacho ongea kinatokana na neno la Mungu yaani Biblia. Mungu hafanyi kazi kwa kuambiwa na mwanadamu bali huliangalia neno lake...
55 Reactions
135 Replies
15K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Ukweli ni kwamba kila mtanzania kuanzia akiwa tumboni mwa mama yake analipa kodi ya serikali bila yeye kujua kodi hiyo iko kwenye mfumo wa indirect taxation. Mfumo huu ni very friendly na hakuna...
36 Reactions
82 Replies
2K Views
Kifasihi hii kauli ya mh kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo. Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom