Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
1 Reactions
5 Replies
282 Views
Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa! ===...
2 Reactions
11 Replies
508 Views
Nimeipenda sana hii ya Chadema Kujenga urafiki na vyombo Vya ulinzi na Usalama Nimefika hadi hapo ofisini na kuwasalimia wamesema licha ya Mchungaji Msigwa kumkimbia Bilionea Mungai chamani...
2 Reactions
18 Replies
830 Views
Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amesema wanaodhani atahama CCM na kwenda Chadema au Chama kingine chochote wanaojidanganya bure Mpina amesema mwaka 2012 alipoipinga Bajeti ya Serikali baadhi ya...
3 Reactions
7 Replies
997 Views
Mwanaharakati Cyprian Musiba amedai kuwa kuna watu wasiokuwa na nia njema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, akiwataja kama "wahuni." Musiba ameongeza kuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
MAPUNGUFU MAKUBWA UANDIKISHAJI WAPIGAKURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Nimeona Kenya wana mabunge mawili, National assembly na Senate? Kwanini Tanzania hatuna hii senate? Je, majukumu ya senate kwa Tanzania yanafanywa na nani? Kuuliza sio ujinga.
0 Reactions
15 Replies
684 Views
Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) limetoa tamko la kukerwa na matendo ya Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia chama hicho kabla ya kuhamia CCM. BAWACHA...
1 Reactions
9 Replies
604 Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
KAMUSI "Vijana ndio kundi lenye nguvu za kufanya kazi ndio maana wanaitwa nguvu kazi ya Taifa, ni watu wenye ubunifu, watu wenye uthubutu na ujasiri na ndio waliobeba maono ya Taifa kwa sasa na...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
10 Reactions
210 Replies
12K Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
WAKAZI DAR ES SALAAM YA KUSINI WAPEWA UHAKIKA MAJISAFI IFIKAPO DISEMBA 2024. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) ameridhishwa na kasi ya...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana. Ndiyo maana wateule wote...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakati mtu unaomba passport katika idara ya uhamiaji unahitajika kuwa na kitambulisho cha taifa(NIDA) lakini pia unapaswa tena kufuata mchakato ule ule uliotumia kupata kitambulisho cha NIDA, sasa...
19 Reactions
58 Replies
3K Views
Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi. Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba...
24 Reactions
97 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Hali hii si ya kawaida, Mamlaka zinatambua, watu wameshuhudia Marehemu Kibao alivyokamatwa na kutokomea na gari lenye plate namba ambazo hata kama hazijulikaniki, ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na...
4 Reactions
16 Replies
457 Views
Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana. Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Back
Top Bottom