Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Shinyanga hatujaachwa nyuma na Matamasha. Arusha jipangeni
6 Reactions
23 Replies
708 Views
CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
- Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa...
6 Reactions
9 Replies
489 Views
Nilishauliza je utamaduni wetu ni tatizo? Kwa wenzetu Maraisi wanajaribu kufanana na watu wao lakini Tanzania Raisi ni kama mfalme au malikia! Raisi Samia kutandukiwa zulia kila mahali wakati...
1 Reactions
6 Replies
322 Views
Nimeamka asubuhi mke wangu ananiambia tunaitwa kwa mwenyekiti, nikajikuta niende kumsikiliza anasemaje, nikamkuta kijana anaandikisha majina anasema anataka kutupa kadi za CCM za kieretroniki...
5 Reactions
19 Replies
652 Views
Wanawake, Umeshajiandaa kugombea nafasi za uongozi au mnasubiri mseme ningekuwa mimi ningefanya hivi, au haya mawazo yanatuumiza Wanawake au haya maamuzi hayawagusi wanawake? Huu ndio muda...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Niwaulize kitu jamani, hivi hawa watu wanajielewa kweli? Uhamasisha nishati ya kupikia bei ya gesi ipo juu. Mtungi kapandisha kutoka kujaza elfu 17 hadi 25000 kwa mtungi wa kilo 6 halafu anahubiri...
22 Reactions
43 Replies
1K Views
Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT. Soon mara...
11 Reactions
118 Replies
19K Views
Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili...
8 Reactions
222 Replies
29K Views
Walimu wanatia huruma katika hivyo vituo. Serikali ijitafakari. Mwisho.
8 Reactions
95 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine...
4 Reactions
43 Replies
15K Views
Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
Mwendo alioanza nao katibu wa itikadi na uenezi Paul Makonda naona nyot yake inaenda vizuri ni kijana ambaye katika majukumu yake anathubutu siyo mtu wa porojo kumbukumbu ni mwalimu. 1. Dar es...
2 Reactions
5 Replies
549 Views
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio...
18 Reactions
94 Replies
4K Views
Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo. Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu...
4 Reactions
8 Replies
296 Views
Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing...
26 Reactions
217 Replies
5K Views
1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024), 2. Salmin Amour 'Komandoo' 3. Dr. Mohamed Shein.
1 Reactions
11 Replies
798 Views
Kwako Mkuu wa Mkoa Arusha mteuliwa Ndg. Paul Makonda, ninakupongeza Kwa uteuzi wako ambao kimsingi umenipa furaha hususani Kwa kupelekwa mkoa ambao ni kitovu Kwa shughuli za utalii ndani ya nchi...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom