Nimemsikia mwalimu Nyerere akihutubia katika moja ya hotuba zake anasema kwamba mara nyingi wanyonyaji au tabaka nufaika linachukia sana mabadiliko.
Ila wanyonge na walalahoi hawaogopi hiyo maana...
Wanabodi,
Tafsiri ya Neno Ujinga.
Naomba nianze na tafsiri ya neno mjinga maana watu humu hawakawii kusingizia watu kuwa tumetukana watu humu!. Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu
neno...
CCM wanalazimisha sana kukubalika
Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka
kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane...
Kwa ufahamu tu:
Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa
Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua...
Na THABIT HAMIDU, ZANZIBAR
Bahati Issa Suleiman 51, Mkaazi wa Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja alikuwa mgombea wa nafasi ya Udiwani wadi ya Bungi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama...
Wakuu,
Nlikuwa nasikiliza hotuba ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa Julai 22 mwaka 1967 Baada ya kuwapokea Vijana waliotembea kwa Miguu kutoka Moshi.
Alikuwa anaongelea...
Uchaguzi wa Serikali za mitaa umefika patamu sasa Kikosi Kazi Cha Chadema chaingia mitaani kuhamasisha uandikishaji Wapiga Kura
Bavicha mmetisha sana 😂😄
Kuna jambo nimejaribu kulitafakari sana kuhusu huu uandikishaji ,miaka yote tunaandikishwa na kupewa vitambulisho.
Ni kwanini awamu hii mnaandika majina tu na hamtoi kitambulisho? Ni nini lengo...
Wanabodi,
Siku ya jana Steven Mutambi, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya TAMISEMI alikuwa akizungumza kwenye mahojiano pale Crown FM na moja ya kauli ambayo alitoa ni kuwa kwenye Uchaguzi wa...
Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana
Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na...
Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna.
Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta...
Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea...
Katibu Mkuu chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa utaratibu wa wasimamizi wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kuwanyima mawakala haki ya kujua idadi (orodha) ya wapiga kura...
Wakati nipo shule ya msingi miaka iliyopita nilichaguliwa kushiriki paredi na kuimbisha nyimbo kwenye paredi hiyo, nakumbuka mpaka leo nyimbo zile, nyingi zilikuwa za kumpigia chapuo Rais fulani...
Akifunga kilele Cha maonesho ya Madini Kitaifa Mkoani Geita,Rais wa JMT amepiga marufuku Mauzo ya Madini Ghafi Nje ya Nchi.
Amesema hakuna sababu ya Madini Ghafi kuuzwa Nje ya Nchi bila...
Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu...
Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali.
Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia,
Lakini yalipoitishwa maandamano ya...
Hata Wamachinga wanaouza bendera za Israel Kwenye mitaa yote ya Jiji hili la DSM wameongezeka sana
Ni Kwanini taifa la Israel limekuwa kimbilio la watu wote?
Au hizi ndio zile siku za Mwisho...
Pamoja na kwamba Usalama wa viongozi wa miaka ya zamani ulikuwa mashakani kutokana na Mapinduzi na Mauaji ya Magenge ya kihalifu , Lakini Mwalimu Nyerere hakuogopa , Alipanga foleni kama wengine ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.