Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa...
Huyu Mwenge wa Uhuru unaokimbizwa Nchi nzima ulitengenezwa Kwa Teknolojia ya zamani
Sasa mambo yamebadilika sana na katika Ulimwengu wa roho Mtu anayependa kutumia Vitu Vikuukuu( vya kizamani) na...
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive...
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa...
Naona toka ile speach ya Mama ya kuwakemea watu wanaohoji watu kutekwa na kupotea pia kuwakemea kwamba wasitupangie Cha kufanya.
Sasa naona mabeberu yameongeza maradufu kuimulika Tanzania.
Kama...
𝑵𝒂, 𝑺𝒂𝒊𝒅 𝑻𝒂𝒏𝒌𝒊𝒍𝒆.
Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa novemba 2024, uchaguzi ambao ni kiini muhimu katika usimamizi na maendeleo ya jamii zetu. Katika maandalizi ya uchaguzi...
Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili...
Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki...
Katiba inasemaje kuhusu ukomo wa mtu kushika madaraka ya Waziri Mkuu wa Jamhuri? Je aliyepo anaweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu baada ya kutimiza Miaka 10 (2015-2025)?
Hapa nazungumzia kikatiba...
Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, leo Oktoba 16 ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa...
Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x
Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x
Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x
Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x
Usalama wa taifa upo upande...
Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa...
Kuna biashara zingine kuita biashara ni kama tu kuonea mtu. Unaona tu kuwa huyu anahangaika tu mkono uende kinywani. Unakuta kijana ana ki duka kidogo, tuivitu tuchache hata kwa macho kuita duka...
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,
Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.
#Samia hakamatiki
====
Below are...
Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza...
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi!
Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na...
Zoezi linasuasua Hadi aibu!
Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba.
Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi...
Sina uhakika ila kila nikiwaza naona kama matrix inaegemea kwa Makamba Junior.
JK, Luten Makamba na Luten Nauye wazazi wa Ridhiwan, January na Nape. Wazazi wamekuwa wote pale Chuo cha Jeshi...
Ethiopia inaongoza Harakati za kuanzisha Kwa Tume ya Ushirikiano ya Bonde la Mto Nile ambapo mda wowote tarehe ya kusainiwa itatangazwa kabla ya mwisho wa mwaka huu wa 2023.
Hata hivyo Misri...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini siku chache zilizopita alikaribisha kikundi cha waendesha baiskeli kinachoitwa TWENDE BUTIAMA.
Soma pia: Sagini: Wenye vikundi muandae miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.