Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi...
2 Reactions
7 Replies
578 Views
Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya Ila...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Ni kazi nyepesi sana kuwa spika wa bunge la Tanzania pengine kuliko nchi nyingine za Africa. Licha ya bunge letu kutokuwa na watu wenye weledi mkubwa (critical minds), pia bunge la Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
641 Views
Mwanaharakati na Msomi maarufu nchini ameandika katika ukurasa wake wa mtandao: Tarehe 11.09.2023) niliangalia na kusikiliza kwa makini, huzuni, mshangao na masikitiko makubwa sana Marudio ya...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Makamu wa Rais wa Kenya ameondolewa madarakani bila nguvu ya polisi kuonekana. Ameondolewa madarakani kwa kura za wazi na akipewa nafasi yakujtete bila TV kuzimwa. Ameondolewa adharani kwa mfumo...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Mimi: Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu. Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo. Hivi, tuko serious kweli?
0 Reactions
13 Replies
424 Views
Ndoto za kada maarufu wa chama cha mapinduzi CCM)jimbo la moshi mjini za kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kuwania ubunge kupitia jimbo la moshi mjini ,zimeyeyuka kutokana na kuwa...
2 Reactions
2 Replies
823 Views
Povu rukhsa! Nikiri tu kuwa mimi ni muumini wa mtu yeyote anayetumia akili yake vizuri. Makonda anajitofautisha sana na viongozi wengine hapa nchini. Yeye ni mchapa kazi na mbunifu sana. kwa...
3 Reactions
9 Replies
351 Views
Na Ahmed Abdulla: Zanzibar: Uongozi ni eneo ambalo limekuwa na muamko mkubwa huku suala la usawa wa kijinsia hasa katika nafasi mbali mbali za uongozi likisemwa mara nyingi ,licha ya mafaniko...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
MWAKIBETE AONGOZA HARAMBEE NDOGO BUSOKELO GIRLS SEC, ATOA MILIONI 15 Mbunge wa Jimbo la Busokelo Atupele Fredy Mwakibete ameongoza harambee ndogo ya wazazi na walimu katika mahafali ya Tano ya...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Nakusalimu mheshimiwa Raisi. Kwa unyenyekevu mkubwa sana naandika haya kama mwananchi wa kawaida ambaye anapenda kuona wewe unafanikiwa. Huu ni ushauri, hivyo unaweza ukautendea kazi au ukaupuuza...
97 Reactions
101 Replies
5K Views
Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022 Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika...
15 Reactions
93 Replies
7K Views
Hili la kuwakemea Mabeberu huku unawaangalia usoni hata Mwanasiasa Maarufu mh Tundu Lisu haliwezi Ndio sababu baada ya Kifo Cha Shujaa Magufuli Mabeberu walijua Africa hakuna tena MTU Jasiri wa...
4 Reactions
8 Replies
611 Views
Salamu, Kuna Misamiati hii ya Vyeo vya Kisiasa Makamu wa Rais na Naibu Rais .Je Nini tofauti yake?
0 Reactions
6 Replies
986 Views
Sera zinazosimamia masuala ya usalama barabarani zimeweka Sheria na kanuni za kufuatwa. Uendeshaji magari ya abiria una Sheria na kanuni zake. Mojawapo ni dereva wa Magari ya abiria anatakiwa awe...
4 Reactions
13 Replies
489 Views
17 October 2024 Geneva, Switzerland 🇨🇭 KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, wadau wa maendeleo, sekta binafsi, na wawekezaji ili...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Ni mazingira gani yanayopelekea huu utamaduni kutokuwa endelevu?
0 Reactions
0 Replies
94 Views
TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya kifungu cha 7(1)(c) cha Sheria ya Mfuko wa...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Back
Top Bottom