Habari watanzania wenzangu
Nianze kwa kusema kitu chochote unachokipenda utakilinda ,utakithaminisha na kukitetea kwa gharama kubwa pale unapoona kinaweza kuchukuliwa.
Inasemekana baba wa Taifa...
Haya mambo ya kuteka na Kutekwa tukiyachekea huwa Tabia na yatahamia kila mahali hadi Kwa akina Simba na Yanga, hadi kwa Wafanyabiashara tena hadi Kwa viongozi wa Dini
Mungu wa Mbinguni aingilie...
HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA
Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani...
Siku zote tumeandika humu na kwingineko kwamba, Cheo ni Dhamana ya Muda mfupi sana, hivyo chaweza kukuponyoka wakati wowote kwa sababu zozote zile.
Sasa Ndugu zangu nimejitokeza tena kwenu nikiwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Oktoba 19, 2024, ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura
Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM...
Uchunguzi wangu Binafsi nilioufanya kutokana na Kuangalia Wajihi wa Wengi waliotekwa na Kupotezwa na kuuawa Nimejiridhisha kwamba, Waliolengwa kutekwa, kupotezwa, ikiwemo na Kuuawa ni Viongozi...
Kama mwenendo wa kujiandikisha Kwenye daftari la mkazi kwaajili ya kupiga kura Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unasua sua hivi,vipi uchaguzi mkuu mwakani?
Wananchi wengi katika mitaa...
Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo:
1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali.
2. Yanga na simba...
Ni lazima tuelewe uwepo wa CHAWA hautokani na Itikadi bali hali ngumu ya Maisha inayosababushwa na unemployment
Unaweza kuniuliza mbona Mwijaku ni tajiri mwenye Magari na Nyumba ya ghorofa lakini...
Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa, ameonyesha mfano wa uongozi kwa kujitokeza kujiandikisha katika daftari la mkazi, akijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa...
Waungwana:
Unlike mashirika mengine ya Umma na ya binafsi, sisi huku NSSF huwa hatuna makuu. Team yetu inaitwa TEAM RESULTS ORIENTED.
Tumesema Tunajenga Daraja la Kigamboni (wana kigamboni...
Wakuu,
Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za...
Wakuu,
Vijana na wanawake msituangushe uchaguzi huu, ruacge kulalamika, tuingie kwenye uongozi na kuleta mabadadiliko tunayoyataka.
Hata kama wazee mifuko imetuna, kama tukisimama imara na...
Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda.
Sasa kule Chunga na Dar mnakwama...
Katika political science mbinu moja ya kutawala bila mandamano na riots ni kufanya political diversionary au incidents ili kuhamisha akili za raia kuondoka kwenye political issue na kuhamia kwenye...
Leo ni siku ya mwisho ya kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.
Hali hii inatia wasiwasi baada ya karani na mwenyekiti wa Anglikana...
Tanga.
Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni.
Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya...
Wawili hao wamekutana kwenye ofisi za Ubalozi huo katika kikao kifupi kilichoambatana na Lunch
Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa, lakini bado tunaendelea na Juhudi za kumpata Msemaji wa...
Baada ya siasa za Tanzania kufanywa na dola badala ya wanasiasa imani ya wananchi imepotea kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Awali ilikuwa dola haijitokezi adharani kudhibiti wanasiasa ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.