Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mzee tunakuombea kwa Mungu uishi maisha marefu, uzalendo wako sisi watanzania tunauona. Usichoke kusema na kukemea na kushauri viongozi wetu hawa ambao wengi wao wanajua kujaza matumbo yao...
19 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu, Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha. Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa...
0 Reactions
5 Replies
474 Views
Kwa mwaka huu 2024 imekuwa vigumu kujua kama CHADEMA ni chama cha siasa chenye nia ya kuhudumia Watanzania wote au ni Taasisi ndani ya taasisi ya dini katika madhehebu tofauti. Miaka ya nyuma...
7 Reactions
145 Replies
3K Views
Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano. 1. Masauni (Mambo ya Ndani), 2. Kombo (Mambo ya Nje), 3. Mbarawa (Uchukuzi),
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Kijana muethiopia miaka 21 aliyepambana na Hamas akiwa peke yake na kufanikiwa kuwaua magaidi wa Hamas na kuokoa raia apongezwa na Netanyahu https://youtu.be/z-1UZ6_PwTI?si=78EKMhW56FpArMN_
25 Reactions
89 Replies
4K Views
Nimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao. Madaraka, mbona sikusikii ukihitaji falsafa zake zilindwe? Kuna taasisi ya Mwalimu Nyerere, Butiku...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
MKULIMA wa Pamba, Thomas Nkola amemvaa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Salehe Mhando kuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Bodi ya Pamba ambao wameshindwa kumsaidia mkulima na kuruhusu kila aina...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Mchakato wa uchaguzi wa viongozi hua ni mgumu na mrefu na hivyo huruhusu makosa ya kibinadamu na kimfumo na kiteknolojia kutokea katika mchakato huo. Tatizo kubwa Afrika ni Kutokukubali matokeo ya...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Spika Dr Tulia amewataka Wananchi wasiishie kwenye kujiandikisha tu bali wajikite kuwapigia Kampeni viongozi wenye Viwango vya kuwavusha Dr Tulia amewataka Wananchi wawe makini katika kuupima...
1 Reactions
4 Replies
320 Views
  • Poll Poll
Kuhusu hii ishu ya uraia pacha. Pia soma Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha Serikali yatoa msimamo kuhusu uraia pacha Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo...
1 Reactions
18 Replies
798 Views
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanabodi, Makala yangu Nipashe ya Leo, 20/10/24 Hizi ni pongezi za dhati kwa Spika wetu, Dr, Tulia Akson Mwansasu, alivyowajibu kwa kuwakoromea maspika wa nchi 12 za mabeberu, wanajiita 12+...
1 Reactions
47 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza kuhusu kuteuliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Hakika Cheo ni dhamana Baada ya motion ya impeachment kupita ndani ya Baraza la Seneti Wanahuduma wote wa Naibu Rais Gachagua waliamriwa kuondoka hivyo Riggy akabaki na uraia wake wa Kawaida...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha. Nimekutana na hii habari huko mitandaoni...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya...
12 Reactions
33 Replies
1K Views
Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule...
2 Reactions
10 Replies
631 Views
Disclaimer: I don’t care what two or more consenting adults do with regard to the choice of lifestyle they want to lead. Now that we got that out of the way, please make it make sense! LGBTQ...
21 Reactions
112 Replies
4K Views
Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo. Mnyika amesema...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom