Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Maandishi Ukutani 1 Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao. 2 Wakati Belshaza alipokuwa akinywa mvinyo wake, aliamuru viletwe vile...
21 Reactions
56 Replies
5K Views
Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia.. Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji...
17 Reactions
41 Replies
5K Views
Naongea hili kwa masikitiko makubwa,na nikikumbuka kauli yako Rais ndio napata uchungu zaidi ,pale ulipo sema utahakikisha wote watakaochaguliwa elimu ya juu watapata mkopo Nasitisha mwaka wa...
19 Reactions
74 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Unajua sio kila jambo ni la kulalamika, serikali zote Duniani zinahitaji uungwaji mkono na kukubalika kwa wananchi wake mbele ya mataifa mengine. Sasa kwa sisi Tanzania...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini. Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na...
16 Reactions
205 Replies
10K Views
Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi; Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani.ukifuatilia namna anavyoongoza Nchi,namna anavyo chapa kazi,namna anavyopambana kutatua...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini mkubwa na kufanya tathmini ya hali ya utendaji wa kazi wa watumishi wa serikali katika mikoa ya Tabora, Arusha na Dar es salaam ambapo mitandao ya kijamii...
1 Reactions
8 Replies
457 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeshangaa sana kuona Mkoa wa Rukwa zaidi ya 30% ya wananchi hawajajitokeza katika kujiandikisha katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wao...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa...
0 Reactions
51 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya Sadifa Juma Hamis amchongea Polisi kwa mkubwa wake kwa kutompigia Saluti
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Naangalia mjadala mzito wa kisheria ukiwajumuisha Mawakili zaidi ya 50 na Jopo la Majaji Watatu Yule Aziz alisema Majaji wanapigiwa Simu Moja tu Kutoka Juu nadhani alikuwa mrongo Ngoja tuone...
1 Reactions
10 Replies
466 Views
Na Mwandishi wetu Dar. Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam,Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Wakuu, Mbio za mwenge zilihitimishwa tar 14, Oktoba na wakimbiza mwenge huo kutakiwa kukamilisha zoezi hilo kwa kufika katika kelele cha mlima huo pamoja na kuweka bendera ya taifa. Wajuba...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Binafsi ninayo Jezi ya Dar Young Africans yenye picha ya Rais Samia Ikumbukwe Rais Samia ndiye Mfadhili mkuu wa Klabu zote za Michezo na ameonyesha hilo kwa vitendo Nasi tuna jukumu la kibinadamu...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Katika uchambuzi wa sababu zinazoweza kuzuia mafanikio ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuna hoja yenye nguvu kwamba CHADEMA imeiga kwa kiasi kikubwa mifumo ya Chama Cha Mapinduzi...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Serikali ya Ujerumani inaunga mkono serikali ya Israeli kwa yale yote ambayo Netanyahu anawafanyia waarabu wa Palestina, Lebanon na kwingineko. Serikali ya Ujerumani inaipatia serikali ya Israeli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti; 1. EWURA, 2. LATRA, 3. TCRA, 4. TCU, 5...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu. Tangu akalie kiti cha urais, kwa haraka haraka hapo ulipo...
38 Reactions
143 Replies
5K Views
Dunia, huruma tanzania yahitajika
1 Reactions
7 Replies
344 Views
Back
Top Bottom