Swali ambalo linajitokeza ni kuhusu matumizi ya fedha za mikopo zinazopatikana kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya kujenga shule za msingi na sekondari nchini. Je, wazazi wataendelea kuzaa...
Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu.
2025 mambo yatakuwa tofauti...
Juzi zoezi la andikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, limehitimishwa kwa serikali kujipa kongele kubwa kuwa wananchi wengi wamejiandikisha.
Sasa Chama cha...
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo...
20 October 2024
Mikoa yavunja rekodi kujiandikisha uchaguzi wa TAMISEMI 2024
Mikoa mitano ya Tanganyika iliyoongoza nchini Tanzania ni kama ifuatavyo :
Tanga asilimia 101.13 ya lengo ,
Pwani...
Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM.
Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho...
Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi.
Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza...
Tanzania, known for its vast natural resources and potential for self-sustainability, finds itself caught in a precarious situation: over-dependency on foreign expertise, goods, and services. This...
Spika Sitta RIP alikuwa ni mwanasheria Kitaaluma kama alivyo Daktari wa Sheria mh Tulia
Katika Kuongoza Bunge na wadau wake mzee Sitta alitumia zaidi Busara lakini Spika Dr Tulia Yeye anatumia...
Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Lema amesema kuwa...
Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo...
Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji.
Ukiwa na chama cha namna hii...
Kama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya
Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali...
Wapinzani hamna sababu ya kulialia kwani tangu enzi za Utawala wa Rumi Mwenye Nguvu ndiye anatawala
Mtapiga sana kelele kuhusu orodha ya Wapiga Kura wa mh Mchengerwa lakini fahamuni Imeisha hiyo...
Wana Jamiiforums mko salama?
Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu.
Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na...
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the...
Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko...
Siko hapa kwa ajili ya mabishano lakini ningependa kujua Uwezo wa vijana wetu wanaohitimu masomo ya Biashara pale UDSM na CBE
Sekta ya Biashara imekuwa haina Mipango kana kwamba hii nchi haina...
Wakuu,
Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi.
======
HATI YA MAKOSA
KOSA LA KWANZA
Kutoa...
Nauliza tu maana Awamu hii mapambano dhidi ya Rushwa na Ufisadi yanaongozwa na Wazalendo wa CCM siyo Wapinzani kama tulivyozowea
Zitto Kabwe na Tundu Lisu wamepotea Kabisa mfano wa Wasiojulikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.