Hizi ni takwimu rasmi kabisa za IMF ambapo Kila mwaka wanatoa takwimu.
Katika jambo linalonitatiza na napata kigughmizi kukubali ni ukweli kwamba eti GDP ya Kenya ni kubwa mara 2 ya Tanzania...
RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA
Na Mathias Canal, Kagera
Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Raia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza mchakato wa uanzishaji wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam uanze mara moja ili...
Huu ni wito ninaoupeleka kwa wadau wote wanaohusika wakiwemo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na wananchi wote kwa ujumla , Binafsi sikuona sababu yoyote ile iliyopelekea kuvunjwa kwa iliyokuwa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 49 wa...
Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.
Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi...
Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM.
Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini...
mkalamo
Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari...
Kuna vichekesho vinaendelea nchini hii vya ukiukaji wa sheria, kwa hoja za dhaifu sana eti kukosa kupigiwa kura na ujinga huyu unaongozwa na watumishi wa halmashauli kwa kuwasikiliza viongozi...
Nimepta kwenye nyuzi nyingi za wakati huu wa kuelekea uchaguzi na zile za zoezi la kujiandikisha unaona kabis namna Wanasiasa walivyo na uchu na madaraka, wanaonesha jinsi gani kuna fursa huko...
NA MARYAM HASSAN
WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo...
Ndugu yangu Jerry Muogope Muumba wako na kama wewe ni mkristo nenda katubu achana na roho ya Kinyama kiasi hiki.
Jerry Muro unakuja na Balaah Blaah za kipuuzi eti CHADEMA wanakusanya Pesa kwa...
Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la...
Hi Kamanda!
Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema.
Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa...
Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi)
Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa...
Nakumbuka Hizi Taasisi mbili yaani Chadema na Kanisa la Mwingira zilipata misukosuko ya kutosha wakati wa Utawala wa Shujaa Magufuli
Lakini Wanachama na Waumini wao hawakukata tamaa katika...
Wadau, habari za majukumu! Baada serikali mpya kuingia waliingiza VAT kila sehemu hata kwa waliosamehewa kodi hiyo, nasemea upande wa watengenezaji chakula cha kuku! Kampuni ya thailand CPF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.