Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwenyekiti mstaafu wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa amesema aliniambia Kamati Kuu ya Chadema kuwa ukali anaoutumia kumshambulia Shujaa Magufuli bungeni atautumia pia dhidi ya Chadema...
3 Reactions
24 Replies
934 Views
Wanabodi, Kupokea na kuuza nje bidhaa mbalimbali ni jambo la muhimu na la kawaida katika nchi yoyote. Kulingana na uhitaji wa bidhaa mbali mbali au mahusiano kati ya nchi moja na zingine, bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024. Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa...
0 Reactions
4 Replies
304 Views
Ubinafsishaji ulisimamiwa na Dr Kigoda awamu ya 2 ya Mzee Mkapa na Wawekezaji Ndio Hawa akina Abood Bus, Mo Dewji, SS Bakhresa nk Je, zoezi la Ubinafsishaji wa shughuli za Serikali Kwanini...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Kujitokeza kwa 100% kwa Wanachama wa Chadema kuchukua fomu za kugombea Uenyekiti wa serikali za Mitaa, Kumewaduwaza Viongozi wa CCM kiasi cha kuanza kupanga njama zile zile za kishamba...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
Tundu Lissu ataka watanzania wachukue hatua kukataa ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Na Jumatano, Oktoba 30, 2024 Lissu anaamini kuwa Watanzania lazima watafakari...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na...
10 Reactions
78 Replies
3K Views
Kukalia Habari na kuwanyima Uhondo Wenzako si kitu kizuri na ni Ubinafsi. Baada ya kulifahamu hilo nikaona ni vema niwaletee haya yanayoendelea huko Sirari, Tarime Ujumbe: Watake Wasitake
2 Reactions
19 Replies
1K Views
VOLKANO YA KUNDUCHI - SERIKALI IMETOA UFUMBUZI GANI? Habari hii ilivuma sana miaka mitatu iliyopita! https://youtu.be/AxuC1PRaTEQ https://youtu.be/RnoqUCZFBYg wataalam wa jioolojia waligundua...
2 Reactions
1 Replies
382 Views
Wakati wenzetu wakifanya mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa siasa na Mihimili ya nchi, sisi Tanzania tunabomoa hata kile kidogo kilichoanza kujengwa. Ni aibu kubwa wagombea wa CCM kupitishwa bila...
1 Reactions
3 Replies
161 Views
NIWAONYE ndipo NIWAFUNDISHE Wiki inayoishia leo 1/11/2024, kuna wezi wametumia jina langu kuandika makala wakidai naikemea CHADEMA kwa kufifisha matumaini ya watanzania. SIYO MIMI NILIYEANDIKA...
3 Reactions
1 Replies
344 Views
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha; tunakuomba uingilie mgogoro ulioko kati ya Jiji la Arusha na shule ya msingi Arusha (Arusha School) iliyoko mkabala na Tanesco Arusha! Sisi wazazi tunalipa ada...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Tutarajie kutangaziwa sheria mpya za uchaguzi, sheria hizo zitatumika wakati wa kampeni ili kuwalinda wasioweza kupambana jukwaani. Kulikoni uchaguzi ujao utungiwe sheria mpya, ni nani anatakiwa...
3 Reactions
8 Replies
697 Views
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961. Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana...
12 Reactions
35 Replies
1K Views
Hii ndio kauli iliyotolewa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Labda kwa kumbukumbu ya Wageni wa jf na wale waliosahau ni kwamba Huyu jamaa aliwahi kufutwa kazi kabambe ya...
2 Reactions
5 Replies
412 Views
Wananchi na wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Jijini Dodoma, wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde kwa ufadhili wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Ni kama mwezi umepita tangu wakazi wa dar wametangaziwa kwamba sasa mradi wa kuboresha maji umekamilika. Matarajio ya watu bila shaka hapatakua tena na mgao. Lakini la kushangaza bado kuna mgao...
4 Reactions
5 Replies
371 Views
Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na...
1 Reactions
8 Replies
454 Views
Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea...
5 Reactions
8 Replies
912 Views
Taarifa hii iliyonukuliwa kutoka jarida la Bloomberg linadai kwamba China iko mbioni kujenga Kambi za Kijeshi Tanzania na Mozambique. My Take Huenda ni porojo na propaganda za USA maana Mamlaka...
2 Reactions
10 Replies
836 Views
Back
Top Bottom