Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Achana nao hao wazembe nakuomba katika mikutano yako usiwe unawataja taja hao watu, unawapa mileage ambazo hawastahili, sasa hivi wanaokoteza Wagombea wanawaambia wachukue fomu, CCM ni chama kubwa...
2 Reactions
7 Replies
382 Views
Ni ukweli ulio wazi kwa sasa wabunge wa CCM wanapitia hali ngumu ya Kisiasa Bungeni kutokana na Vikao vya Waziri Mkuu kuwapa Maelekezo wakisimama bungeni wafanye kazi ya Kusifia Serikali Jambo...
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.ni aibu isiyo bebeka,ni aibu na fedheha ya kiwango cha juu sana. Hivi...
2 Reactions
73 Replies
1K Views
Kusuhu hali ya Ugonjwa wa Figo nchini Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amezungumzia ongezeko la magonjwa ya figo nchini, akitaja vichocheo vikuu vinavyosababisha hali hii kuwa mbaya...
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Kuna mambo ambayo yananifanya nikate shauri kwamba kwa sasa tuna uongozi dhaifu katika ofisi zote mbili, ya raisi na makamu wa raisi. Nitatoa mifano kuthibitisha hili. Tuanze na Raisi. Utakuta...
3 Reactions
3 Replies
291 Views
Kumbe katika kuumba Mwanamume na Mwanamke Mungu wa mbinguni Aliwaumba Kwa wakati Mmoja Ila katika kuwatengeneza ( kuwafinyanga) ndipo Adam alitangulia na Hawa akafuatia Trump na Waarabu wa Iran...
1 Reactions
6 Replies
431 Views
REA wameweza kusambaza Umeme nchi nzima vijijini kwa pesa za Tanzania wapewe kazi ya kujenga miundombinu kusambaza hatutaki matapeli kupitia PPP Kazi kubwa iko kwenye kuzalisha umeme Tanesco...
15 Reactions
47 Replies
1K Views
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MTUNDA, KIBITI "Kata ya Mtunda ni Kata ya kimkakati katika Jimbo la Kibiti ambayo ilikumbwa na mafuriko kipindi kilichopita. Je, nini kauli ya Serikali...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Uchaguzi mkuu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoongoza nchi kwa kipindi fulani. Katika kipindi hiki cha kampeni, wananchi wanapaswa kutumia fursa hii kuwauliza wagombea maswali...
3 Reactions
7 Replies
634 Views
Hello! This is Africa. Twende kwenye mada Ikiwa mwanasiasa atakupa fedha, huduma au kukufanyia jambo lolote kipindi cha uchaguzi usipaniki. Maana yake ni hii; Machoni pake wewe ni tahira. Don't...
2 Reactions
3 Replies
136 Views
Wanabodi, Huu ni uzi wa kuzungumzia vita ya The SGR War, kati ya majeshi yayoitwa MAGUFUGAME yaliyoibuka Kidedea, dhidi ya majeshi pinzani ya MUSEVENYATTA ambayo yamepata kipigo hadi kunyanyua...
21 Reactions
147 Replies
14K Views
Mimi Mkazi wa Geita kwa muda mrefu sasa mkoa wetu umekuwa na changamoto ya mgao wa maji. Maji yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki. Hii ni kwa Mtaa wetu na maeneo mengine mengine. Kila tukiuliza...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndio hivyo Mkoa huo una jamii ya watu waaminifu na wasio na tamaa kama makabila ya Mikoa mingine mnayoyajua. Mpaka Sasa Njombe imetoa Makatibu Wakuu Kiongozi 3. Nachelea kusema hata Katibu Mkuu...
10 Reactions
159 Replies
6K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni...
2 Reactions
25 Replies
886 Views
Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
04 November 2024 Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina...
4 Reactions
15 Replies
688 Views
Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata...
19 Reactions
82 Replies
2K Views
Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania, Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu...
44 Reactions
215 Replies
8K Views
Tanzania tumekuwa tunajiainisha sana kwenye mitandao Kwa kuweka picha mbalimbali za miundombinu mfano madaraja Makubwa na flaiova huku tukibeza Nchi zingine bila kujua kinachoendelea huko...
15 Reactions
105 Replies
3K Views
Back
Top Bottom